Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo,
Acha uongo na kupotosha maandiko usiyoyajua.
Hakuna neno "gay" kwenye hiyo mistari.
Matthew 19:10-12
10 The disciples said to him, “If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry.”
11 Jesus replied, “Not everyone can accept this word, but only those to whom it has been given.
12 For some are eunuchs because they were born that way; others were made that way by men; and others have renounced marriage because of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”
EUNUCH Meaning:
A eunuch is a man who has been castrated, or had his testicles removed. The word comes from the ancient Greek eunen echein, which means "bed-guard".
Wewe uliyefika Indonesia ni nini unachojuwa?We ujafika Indonesia,ulidanganywa
Hivi kuna nchi ya ulaya inaweza kukaribisha magaidi sebuleni kwake.?!Wamekataa kwenda kwa waarabu wenzao ambao wanaongea lugha moja wamekataa kwenda Ulaya waeende Indonesia😂
Huyu bed-guard alikuwakuwaje huyu?Dogo,
Acha uongo na kupotosha maandiko usiyoyajua.
Hakuna neno "gay" kwenye hiyo mistari.
Matthew 19:10-12
10 The disciples said to him, “If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry.”
11 Jesus replied, “Not everyone can accept this word, but only those to whom it has been given.
12 For some are eunuchs because they were born that way; others were made that way by men; and others have renounced marriage because of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”
EUNUCH Meaning:
A eunuch is a man who has been castrated, or had his testicles removed. The word comes from the ancient Greek eunen echein, which means "bed-guard".
Hivyo hivyo.Huyu bed-guard alikuwakuwaje huyu?
Ama ni kama nilivyoona picha flani ya mtumwa akimpepelea upepo Sultani wakati akiwa kitandani kalala na mkewe usiku?
Wenyewe ni magaidi , huoni kinachofanyika na walichokifanya Kongo ??Hivi kuna nchi ya ulaya inaweza kukaribisha magaidi sebuleni kwake.?!
You must be joking.
Hivyo hivyo.
Anakuwa alishatolewa pumb.u ili asiwe hatarishi