Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masalia ya Jiwe ni shida!Ummy Mwalimu ni shidaaaa!! porojo zimekuwa nyingi, cha kusikitisha ni kwamba eti amekodi mamluki wa kumsifia kwenye mitandao wakati utendaji wake ni makerere tu!!
Tutateua kutoka Zanzibar hiyo Wizara soon., fanyeni subraMhe Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Madam Samia Suluhu Hassani.Tuakuomba usikie malalamiko yetu sisi watanazania kuhusiana na matamko ya waziri wa tamisemi madam Ummy Mwalimu.Amekuwa na matamko mengi ambayo sisi kama watanzania wazalendo tumeshindwa tufuate lipi na tuache lipi.Mfano mmojawapo ni kusitisha uhamisho wa watumishi wa umma kwa muda usiojulikana.Kumekuwa na ukiritimba mkubwa kwenye suala la uhamisho.Mara anasema tafuta wa kubadilishana nae unatafuta lakini bado mambo hayashugulikiwi.Kwa miaka 6 iliopita watumishi wamepitia magumu. Sasa kwa style ile ile yale matamko ya awamu yatano yanaaaanza kujirudia.Tunaomba mama umpumzishe. Pia wilaya Songwe Chenji za Uviko baada ya ujenzi wahusika wakuu wamezigawana serikali iifuatilie na majina wahusika pamoja wakuu wa shule waliotafuna pesa za uviko na muda si mrefu wataanza kuwabadilishia vituo wakuu wa shule ili kufuta ushahidi
... mamlaka zikiwa serious utazitolea kila tundu! Shauri yako.Mkuu acha roho mbaya, kahela kakorona kaliko baki tunamalizia vinyumba vyetu pia maana viliishia njiani.......madarasa si tumejenga lakini acha tule haka kachenji maana hatujaiba tumetumia vizuri tu.
... mamlaka zikiwa serious utazitolea kila tundu! Shauri
yako.
Hawa dawa yao ni kuwapuuza na wakiendelea ni kupiga chuma chuuWatanzania hawaeleweki wanataka nini...
Ummy anafaa kwenye wizara kama Mazingira ambayo hahiitaji utendaji sana
... sawa Mkuu kama umeamua kujilipua; ila kumbuka ni hiari ya jaji kukupa option - kifungo au faini; kifungo bila faini; au kifungo na faini. Andaa kabisa jaji wa mchongo japo mshtakiwa hachagui jaji!Tz ni chukua chako mapema, unaiba mil 500,Kesi mahakamani faini mil 5 baada ya hukumu, sasa hapo si tayari umejilipa mafao kabisa uoga wako ndiyo umaskini wako.......
Ummy Mwalinu ni MZIGO hafai kuwa waziri yule, mihemko mingi!!Ummy si waziri mzigo ni mchapakazi na mtu makini.
Ummy hafai hata kuwa diwaniMhe Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Madam Samia Suluhu Hassani.Tuakuomba usikie malalamiko yetu sisi watanazania kuhusiana na matamko ya waziri wa tamisemi madam Ummy Mwalimu.Amekuwa na matamko mengi ambayo sisi kama watanzania wazalendo tumeshindwa tufuate lipi na tuache lipi.Mfano mmojawapo ni kusitisha uhamisho wa watumishi wa umma kwa muda usiojulikana.Kumekuwa na ukiritimba mkubwa kwenye suala la uhamisho.Mara anasema tafuta wa kubadilishana nae unatafuta lakini bado mambo hayashugulikiwi.Kwa miaka 6 iliopita watumishi wamepitia magumu. Sasa kwa style ile ile yale matamko ya awamu yatano yanaaaanza kujirudia.Tunaomba mama umpumzishe. Pia wilaya Songwe Chenji za Uviko baada ya ujenzi wahusika wakuu wamezigawana serikali iifuatilie na majina wahusika pamoja wakuu wa shule waliotafuna pesa za uviko na muda si mrefu wataanza kuwabadilishia vituo wakuu wa shule ili kufuta ushahidi
Hupapendi Rombo umechoka mtori wa nyama nyingi na nyama choma za mamsera!!!??Ummy Mwalimu ni mchapakazi kwa asilimia 100%.
Suala la uhamisho hata mimi nina maslahi nalo, maana sehemu niliyopo ni mbayaaaaaaa.
Ila kwa Ummy of course yuko sahihi kukataza uhamisho kwa upande wake.
Maana ukisema watu wahame kuna sehemu watumishi wataisha kabisa.
Sehemu kama Rombo, zaidi ya 90% ya watumishi hawapapendi huku na wanataka kuhama.
Mimi situmii mtori wala pombe.Hupapendi Rombo umechoka mtori wa nyama nyingi na nyama choma za mamsera!!!??
ngoja tukupeleke garijembe au santilia
nenda kapite daraja la nccf bila pesa nenda muhimbili au hospital yeyote ya umma bila pesa serikar inafanya biashara kwa kivuli cha kutoa huduma kwa kubadilishan na pesa hakuna investment isiyo na return hizo taasisi za umma zisizo rudisha gawia ishu ww unazungumza nnSerikali inatoa huduma, haifanyi biashara ongeza akili kidogo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Majaji wenyewe wananjaa, nchii hii inatafunwa na wanasiasa tu... sawa Mkuu kama umeamua kujilipua; ila kumbuka ni hiari ya jaji kukupa option - kifungo au faini; kifungo bila faini; au kifungo na faini. Andaa kabisa jaji wa mchongo japo mshtakiwa hachagui jaji!
Serikalini wafanyakazi wanadeka sana mkataba wa ajira kawaida Ni wa mtu binafsi mmoja tu na mwajiriwa lakini serikalini Ajabu eti mtu anajiamlia tu nataka kuhama nifuate mume wangu au mke wangu aiseeee!!! Private sector mleta mada ungepigwa makofi na mateke ndipo upewe barua ya kufukuzwa kazi moja kwa moja.
Oeni full time house wife asiyefanya kazi ili muda wowote uhame naye bila shida na wanawake wafanyakazi serikalini oleweni na wanaume wasio na kazi muwe nao popote