zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
magufuuuuuulKwani lazima chadema iwepo? Hiko chama ni kukiacha kife, kipotee
Tindo si nilishakukaribisha CCM? Si Nilishasema hapa kuwa chadema Ni wababaishaji waliopoteza muelekeo na dira? Si Nilishasema kuwa hapo chadema hapana chama Bali Ni Saccos na mradi wa familia ya Mbowe? Si Nilishasema hapa kuwa hicho chama kilishasambaratika? Hamjachelewa karibuni CCMKwenye hili la kuchelewa kuchukua maamuzi nakubaliana na ww kabisa, nimewahi kuhoji humu. Pia suala la kuzingatia muda hata kwenye press zao ni tatizo sugu. Kitengo cha habari ni kama kimekufa kwani naona hata website iko down!
Mambo haya na madhaifu mengine kadhaa ndio yanapelekea mimi kutaka Mbowe akae pembeni kama mwenyekiti ili aingie mtu mpya na mbinu mpya, kwani kwa sasa ni sahihi kabisa kwake kukaa pembeni
Tindo si nilishakukaribisha CCM? Si Nilishasema hapa kuwa chadema Ni wababaishaji waliopoteza muelekeo na dira? Si Nilishasema kuwa hapo chadema hapana chama Bali Ni Saccos na mradi wa familia ya Mbowe? Si Nilishasema hapa kuwa hicho chama kilishasambaratika? Hamjachelewa karibuni CCM
Mimi nilikuwa najua kimeshakufa, kumbe bado kipo ila aliyekufa ni JiweKwani lazima chadema iwepo? Hiko chama ni kukiacha kife, kipotee
Ujumbe umefika mkuuNdugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.
1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi kwa style ya Lipumba, CHADEMA ingepasuka kama CUF lakini hatukujifunza tu.
2. Kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalum.
CHADEMA mapema sana mwaka jana waliafikiana kuwafukuza wabunge 19 baada ya kukiuka maazimio rasmi ya chama na pia kukaidi wito wa kamati kuu. Cha kushangaza tumekaa mwaka mzima ndio tunakuja kuwafukuza rasmi kupitia rufaa za Baraza kuu. Nachojiuliza mwaka mzima tunasubiri Nini? Sasa wameshajipanga tutaburuzana na kesi mpaka 2024 huko ndio waje kuondoka when it's too late na damage imefanyika.
3. BAWACHA Haina mwenyekiti!!
Baada ya Mdee kuondolewa kwenye chama nilitegemea haraka sana nafasi zote zizibwe, Nikashangaa Sharifa Suleiman ambaye ni makamu mwenyekiti ZNZ ni Kaimu-Mwenyekiti mpaka leo. Sasa tunakwama wapi kuziba hiyo nafasi? Hivi Mdee akisema Leo anarudi kwenye uenyekiti BAWACHA na akapewa back up na msajili (maana Bado kiti kipo wazi) unadhani damage itakua kubwa kiasi gani?
As much as tunakipenda hiki chama lakini kwenye maamuzi magumu tuwe na uharaka otherwise tutaendelea kulalamika tunahujumiwa kumbe tunaacha gaps wenyewe na maadui wanazitumia kutunyooshea.
Cc Tindo Erythrocyte Proved
Tuje kushiriki mauaji ya Raia ?Tindo si nilishakukaribisha CCM? Si Nilishasema hapa kuwa chadema Ni wababaishaji waliopoteza muelekeo na dira? Si Nilishasema kuwa hapo chadema hapana chama Bali Ni Saccos na mradi wa familia ya Mbowe? Si Nilishasema hapa kuwa hicho chama kilishasambaratika? Hamjachelewa karibuni CCM
Basi endelee kukaa huko huko kwa matapeli na wababaishajiNingetaka kujiunga CCM ningeshajiunga muda mrefu kwelikweli. Sintokaa nijiunge na chama cha majizi, kilichoitia nchi hii umasikini,na kufanya watu wajinga.
Nyie wababaishaji tu, hivi pesa za join the chain zipo wapi?
Mada zenye tafakuri ya kina, siyo kama zile za akina 'Babtisti'. Sijamtaja 'John' hapo.Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.
1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi kwa style ya Lipumba, CHADEMA ingepasuka kama CUF lakini hatukujifunza tu.
2. Kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalum.
CHADEMA mapema sana mwaka jana waliafikiana kuwafukuza wabunge 19 baada ya kukiuka maazimio rasmi ya chama na pia kukaidi wito wa kamati kuu. Cha kushangaza tumekaa mwaka mzima ndio tunakuja kuwafukuza rasmi kupitia rufaa za Baraza kuu. Nachojiuliza mwaka mzima tunasubiri Nini? Sasa wameshajipanga tutaburuzana na kesi mpaka 2024 huko ndio waje kuondoka when it's too late na damage imefanyika.
3. BAWACHA Haina mwenyekiti!!
Baada ya Mdee kuondolewa kwenye chama nilitegemea haraka sana nafasi zote zizibwe, Nikashangaa Sharifa Suleiman ambaye ni makamu mwenyekiti ZNZ ni Kaimu-Mwenyekiti mpaka leo. Sasa tunakwama wapi kuziba hiyo nafasi? Hivi Mdee akisema Leo anarudi kwenye uenyekiti BAWACHA na akapewa back up na msajili (maana Bado kiti kipo wazi) unadhani damage itakua kubwa kiasi gani?
As much as tunakipenda hiki chama lakini kwenye maamuzi magumu tuwe na uharaka otherwise tutaendelea kulalamika tunahujumiwa kumbe tunaacha gaps wenyewe na maadui wanazitumia kutunyooshea.
Cc Tindo Erythrocyte Proved
NovembA ndiyo hiyo inaingia kwa haraka, tujue CHADEMA ipo au ilikwishaenda zake!Ujumbe umefika mkuu
Sasa hivi ninaungana nawe katika hili.kutaka Mbowe akae pembeni kama mwenyekiti ili aingie mtu mpya na mbinu mpya, kwani kwa sasa ni sahihi kabisa kwake kukaa pembeni
Ili akashiriki uchaguzi wa bunge la Africa Mashariki kama Addo Shaibu aambulie sifuri ?Mkuu zitto heshima kwako!
Kwa uwezo ulionao nakushauri uende ACT WAZALENDO!
NB:ni ushauri tu.
Aliyetaka kife ndiye kafa kibudu sasa hivi ni kuni za kuwachimea wadhambi wenzakeKwani lazima chadema iwepo? Hiko chama ni kukiacha kife, kipotee
Kuna chawa ndani ya chama wanawajaza hofu wenzao kuwa mbowe akiachia uongozi chama kitanunuliwa na ccm.Sasa hivi ninaungana nawe katika hili.
Ni wakati mwafaka kabisa.
Alikufa yule jamaa akapotea akaiacha ChademaKwani lazima chadema iwepo? Hiko chama ni kukiacha kife, kipotee