mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Mimi nilikuwa najua kimeshakufa, kumbe bado kipo ila aliyekufa ni Jiwe
jiwe kafa lakini chama bado kinapumulia mipira[emoji23][emoji23]
vipi mikutano mnafanya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikuwa najua kimeshakufa, kumbe bado kipo ila aliyekufa ni Jiwe
Ulichokiandika hapo juu ni mfano wa mawazo mgando, sio tu kwasababu fulani na fulani walikosea after 10 yrs ndio unaishia hapo, unatakiwa uende mbele zaidi ya hapo.Katika dhana za kipuuzi ni hii ya kusema kiongozi fulani ndio nguzo ya chama. Matokeo yake ndio haya kiongozi anakaa madarakani zaidi ya miaka 10, hata yale mazuri yake yanaanza kuharibika.
Kwa utafiti wangu niliofanya ambao sio rasmi, kiongozi yoyote wa kuchaguliwa akikaa madarakani zaidi ya miaka 10, ubora wake huanza kupungua na mazuri yake hufifia. Mfano wa viongozi hao ni
Kiongozi kama Mandela amebaki bora na kuwa kiongozi mzuri kwani hakukaa madarakani mrefu. Mbowe alipaswa kukaa pembeni baada ya blunder ya Lowassa, au kama hakuona sawa kuachia baada ya kosa lile, basi hakupaswa tena kugombea uwenyekiti wa CDM uchaguzi uliopita. Mbowe alishafanya vizuri miaka yake 10 ya kwanza, alipoanza kukaa zaidi ya miaka 10, ndio anafikia huku ambapo anakosa ufanisi, na kuishia kuingia kwenye miafaka sijui maridhiano ya kihuni.
- Nyerere
- Moi
- Mugabe
- Gadaffi
- Paul Biya
- Museveni
- Albashir
- Saddam Hussein
Ulitaka ripoti ya michango ya wanachama wa Chadema ilitwe CCM Lumumba?Nyie wababaishaji tu, hivi pesa za join the chain zipo wapi?
Kwako ni mazingira yapi ya kisiasa yaliyobadilika yanayomfanya Mbowe asifae kuendelea kuwa mwenyekiti wa CDM?Mbowe alikuwa na umuhimu wake katika chama kwa wakati maalum. Sasa nyakati ni tofauti, hawezi kuendelea kuwa na umuhimu ule ule katika nyakati mbalimbali.
Kubadilisha sura za viongozi huku tabia za wanachama zikiendelea kubaki zile zile ni sawa na kupoteza muda, hakuna maana.
Kwangu ni bora tungeanza kwanza kubadilisha mindset za wapenzi na wanachama, wajue haki zao na jinsi ya kuzipigania ili kuyafikia malengo, ndipo tuje kuwaza kubadilisha sura za viongozi.
Hili wazo la kukimbilia kubadilisha sura za viongozi pekee tusiwe tunaliimba tu kama wimbo, kufanya hivyo kwangu huliona kama wazo la kibinafsi, tunakaa pembeni na kuona madhaifu wa viongozi kila wakati, huku madhaifu yetu tukiwa hatuyaoni.
Kwa hii mentality, tutaendelea kubadilisha sura za viongozi miaka yote, lakini tatizo letu la msingi hatutakaa tulimalize, tutaendelea kusumbuliwa na CCM mpaka tuamke, wala sio kubadilisha sura za viongozi, jambo ambalo kwangu ni dogo sana.
Kwanini taasisi zisiongozwe na katiba wakati ndio iliyopo na msajili wa vyama aliipitisha? unataka kusema huyu msajili wa vyama wa CCM anaipendelea Chadema kwa kwenda kinyume na Katiba yake?Ingekuwa taasisi zetu zinaongozwa zaidi na katiba zetu hapo kubadili sura ya kiongozi isingekuwa lazima, lakini inapokuwa taasisi inaongozwa sehemu kuwa na utashi wa kiongozi, basi kubadili sura ni jambo lisiloepukika.
Tuchukulie kubadili sura sio jambo la msingi, lakini unapokaa miaka 15+ huku kukiwa na makosa ambayo huko awali hayakuwepo, ni kwanini hiyo sura isibadilike ili kupatikana mtazamo mpya? Hebu jaribu kuingia uone kama hata tovuti siku hizi inafunguka, sasa jambo dogo hivyo limekwama, hayo mengine makubwa inakuwaje?
Ulichokiandika hapo juu ni mfano wa mawazo mgando, sio tu kwasababu fulani na fulani walikosea after 10 yrs ndio unaishia hapo, unatakiwa uende mbele zaidi ya hapo.
Ndani ya hiyo miaka 10 unayoitaka utakuwa umefanya kile viongozi walichotaka ukifanye ili kufikia malengo ya chama mliyojiwekea? au utakuwa umekaa pembeni tu unawahesabia miaka 10 ili ikifika waondoke?
Kama ni kukaa tu na kuwahesabia miaka 10 ikifika waondoke, huu ndio ubinafsi wenyewe, na utaendelea kuwahesabia wote hii miaka, wakati mabadiliko ya kweli yanayohitaji ushirikishwaji wa wanachama na wapenzi yakiwa hayajafikiwa, na hayatafikiwa kama akili zipo kwenye kubadilisha sura viongozi tu.
Kwanini taasisi zisiongozwe na katiba wakati ndio iliyopo na msajili wa vyama aliipitisha? unataka kusema huyu msajili wa vyama wa CCM anaipendelea Chadema kwa kwenda kinyume na Katiba yake?
Hebu tuwekee hapa mifano inayoonesha vile Chadema inavyokwenda kinyume na Katiba yake.
Binafsi siwezi kuwa mwana CCM hata ikibidi kufa nachukia dhurumaTindo si nilishakukaribisha CCM? Si Nilishasema hapa kuwa chadema Ni wababaishaji waliopoteza muelekeo na dira? Si Nilishasema kuwa hapo chadema hapana chama Bali Ni Saccos na mradi wa familia ya Mbowe? Si Nilishasema hapa kuwa hicho chama kilishasambaratika? Hamjachelewa karibuni CCM
Mkutano wa chama gani huku mnadai chama kimekufajiwe kafa lakini chama bado kinapumulia mipira[emoji23][emoji23]
vipi mikutano mnafanya!!
Na. 3 ndiyo inashangaza zaidi au pengine katibu mkuu na mwenyekiti wanajua wazi wanawaonea wale wadada. wale wadada hawana kosa lolote na hivyo walijua watakwenda mahakamani na mahakama itapindua kisha watawarudisha kundini na nyadhfa zao kwa kigezo cha kutii mahakamaNdugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.
1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi kwa style ya Lipumba, CHADEMA ingepasuka kama CUF lakini hatukujifunza tu.
2. Kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalum.
CHADEMA mapema sana mwaka jana waliafikiana kuwafukuza wabunge 19 baada ya kukiuka maazimio rasmi ya chama na pia kukaidi wito wa kamati kuu. Cha kushangaza tumekaa mwaka mzima ndio tunakuja kuwafukuza rasmi kupitia rufaa za Baraza kuu. Nachojiuliza mwaka mzima tunasubiri Nini? Sasa wameshajipanga tutaburuzana na kesi mpaka 2024 huko ndio waje kuondoka when it's too late na damage imefanyika.
3. BAWACHA Haina mwenyekiti!!
Baada ya Mdee kuondolewa kwenye chama nilitegemea haraka sana nafasi zote zizibwe, Nikashangaa Sharifa Suleiman ambaye ni makamu mwenyekiti ZNZ ni Kaimu-Mwenyekiti mpaka leo. Sasa tunakwama wapi kuziba hiyo nafasi? Hivi Mdee akisema Leo anarudi kwenye uenyekiti BAWACHA na akapewa back up na msajili (maana Bado kiti kipo wazi) unadhani damage itakua kubwa kiasi gani?
As much as tunakipenda hiki chama lakini kwenye maamuzi magumu tuwe na uharaka otherwise tutaendelea kulalamika tunahujumiwa kumbe tunaacha gaps wenyewe na maadui wanazitumia kutunyooshea.
Cc Tindo Erythrocyte Proved
Wacha usanii, unataka tukaongelee wapi?!Imebidi nicheke tu, mengine hata sio ya kuongelea hapa maana hata ni aibu boss.
Unamuita vipi Mbowe mbinafsi wakati anawekwa kwa kupigiwa kura na wanachama wa chama chake? naona hutaki agombee ili uridhishe nafsi yako, vipi wale wanaomtaka agombee? ubinafsiNimeweka mifano halisi ya viongozi waliokaa madarakani zaidi ya miaka 10, na ubora wao ukapungua. Huyo Mbowe nimemuweka kwenye kundi hilo maana ufanisi wake kwa sasa umepungua.
Kwahiyo kutaka kiongozi abadilike ndani ya miaka 10 ni ubinafsi, lakini akikaa zaidi ya muda sio mbinafsi?! Sina tatizo na unachoamini, lakini kwangu kwa sasa Mbowe ni sahihi kupisha nafasi hiyo apewe mwingine. Labda kama CDM hakuna succession plan ya kueleweka.
Upo sahihi sanaNdugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.
1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi kwa style ya Lipumba, CHADEMA ingepasuka kama CUF lakini hatukujifunza tu.
2. Kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalum.
CHADEMA mapema sana mwaka jana waliafikiana kuwafukuza wabunge 19 baada ya kukiuka maazimio rasmi ya chama na pia kukaidi wito wa kamati kuu. Cha kushangaza tumekaa mwaka mzima ndio tunakuja kuwafukuza rasmi kupitia rufaa za Baraza kuu. Nachojiuliza mwaka mzima tunasubiri Nini? Sasa wameshajipanga tutaburuzana na kesi mpaka 2024 huko ndio waje kuondoka when it's too late na damage imefanyika.
3. BAWACHA Haina mwenyekiti!!
Baada ya Mdee kuondolewa kwenye chama nilitegemea haraka sana nafasi zote zizibwe, Nikashangaa Sharifa Suleiman ambaye ni makamu mwenyekiti ZNZ ni Kaimu-Mwenyekiti mpaka leo. Sasa tunakwama wapi kuziba hiyo nafasi? Hivi Mdee akisema Leo anarudi kwenye uenyekiti BAWACHA na akapewa back up na msajili (maana Bado kiti kipo wazi) unadhani damage itakua kubwa kiasi gani?
As much as tunakipenda hiki chama lakini kwenye maamuzi magumu tuwe na uharaka otherwise tutaendelea kulalamika tunahujumiwa kumbe tunaacha gaps wenyewe na maadui wanazitumia kutunyooshea.
Cc Tindo Erythrocyte Proved
Tindo !Kwenye hili la kuchelewa kuchukua maamuzi nakubaliana na ww kabisa, nimewahi kuhoji humu. Pia suala la kuzingatia muda hata kwenye press zao ni tatizo sugu. Kitengo cha habari ni kama kimekufa kwani naona hata website iko down!
Mambo haya na madhaifu mengine kadhaa ndio yanapelekea mimi kutaka Mbowe akae pembeni kama mwenyekiti ili aingie mtu mpya na mbinu mpya, kwani kwa sasa ni sahihi kabisa kwake kukaa pembeni
Hakuna aliyekukataza, lakini usione nongwa unapoambiwa uanaposimamia hapafai.
Kitakuwepo sana tu , 2025 mjiandae maana sijui mtawaambia nini wananchi maana mmefeli Kila kituKwani lazima chadema iwepo? Hiko chama ni kukiacha kife, kipotee
Afisa habari aliyekua anajitambua ni Kafulila na baadae Mnyika, baada ya hapo kitengo kikamfia Makene. Yaani hata kampeni za Lissu kupata feedback ilikua inachukua masaa 6.Kwenye hili la kuchelewa kuchukua maamuzi nakubaliana na ww kabisa, nimewahi kuhoji humu. Pia suala la kuzingatia muda hata kwenye press zao ni tatizo sugu. Kitengo cha habari ni kama kimekufa kwani naona hata website iko down!
Mambo haya na madhaifu mengine kadhaa ndio yanapelekea mimi kutaka Mbowe akae pembeni kama mwenyekiti ili aingie mtu mpya na mbinu mpya, kwani kwa sasa ni sahihi kabisa kwake kukaa pembeni