Bazenga01
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 783
- 1,311
Habari za muda huu wakuu,
Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana mlingoti wa taa moja umekatwa na taa kuibiwa. Wakati huo huo kuna mlingoti mwingine upo mbioni kukatwa pia.
Naambatisha picha nilizopiga eneo la tukio.
Mamlaka husika, ikiwapendeza fuatilieni na kukomesha ubadhirifu huu.