hahaha walituwekea tena refa mbululambulula kama uyu mpaka masink ya chooni tunabeba yoteHuyu nae vipi!?Kwani viti vimekua roho vikitoka havirudi! Tutalipa ila sms imefika next time ujinga kama huu tunaondoka na magoli
Tunyang'anywe point 6 ili tulingane na yanga ee? wajaribu waone kama hatujavamia ofisi za TFF na kumchakaza malinzi, wajaribu tu waone,Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Hahah polisi wenyewe wangekimbiaHv Kwa Mfano Refa Angekataa Lile Goli La Kichuya Kwamba Rudia Kona [emoji23][emoji23][emoji23]
Uwanja wote ungeangushwa Chini.
Hatutakagi ujinga sisi
Mkuu Mashabiki wa timu hii mwenyekiti wao alishawaambia ni MambumbuHaya majitu hamnazo kweli,mara ngapi refa anafanya ujinga kwa yanga na wala hawakuwahi kufanya huu upuuzi?kuna yule refa mwanamke sitamsahau alichokifanya ila huwezi kukuta mtu wa yanga anafanya upuuzi kama huo,hii timu ni ya watu wasio na akili.
Kwa sheria mpya za FIFA, kujibizana na refa ni Straight Red Card.Sasa kumsukuma na kudondoka vile, inakua hakuna mjadala. Hivyo red card kwa muktadha wa alichofanyiwa refa ni halali.Naunga mkono kung'olewa kwa viti. Huyu refarii alikuwa amefungiwa kuchezesha mechi yoyote kwa mwaka mmoja. Malinzi alipoingia madarakani akawasamehe waamuzi wote waliofungiwa, na huyu jamaa akaponea hapo. Badala ya kuonyesha watanzania kuwa ameshajirekebisha, anarudia makosa makubwa matatu; kukataa goli halali, kukubali goli lisilo halali na kutoa kadi nyekundu. Sasa huyo Malinzi aliyemfungulia kifungo ndio atengeneze viti, maana aliwaona waliomfungia jamaa kuwa ni wajinga!
Endelea kushabikia upuuzi.Peleka huko, huwezi kuwa mashabiki wa simba hata siku moja, pamoja mi mwenyewe sifurahii aina ya upumbavu wa mashabiki uliofanywa kwa kuvunja viti ila siwezi nikacomment timu yangu ipokwe point 6, tunasitahili adhabu kubwa lakini sio adhabu ya kipuuzi kama unayopendekeza wewe, ukiona sehemu fulani ujinga kama huu hautokei ujue marefa wanachezesha fair play
Wawe wanaangalia South American soccer, km Argentina. Wale River plate v BOCA, kisingebaki kitu.Nyie mnaoponda ni mashabiki wa Yanga. Kwa mechi Kubwa Kama ile na maamuzi mabovu vile, ubinadamu unakutoka kwa muda unaweza fanya lolote.
Hawa watu wa ajabu kabisa, agenda ilibidi kuwa maamuzi mabovu uwanjani, wenyewe wamekimbilia uharibifu wa viti bila kuangalia chanzo kisa tu maamuzi hayo mabovu yamewafeva wao. Sasa tatzo litaishaje Kama wapo watu wanajipofusha makusudi.Wawe wanaangalia South American soccer, km Argentina. Wale River plate v BOCA, kisingebaki kitu.
Malinzi ni rais wa TFF wa hovyo kuwahi kutokeaNaunga mkono kung'olewa kwa viti. Huyu refarii alikuwa amefungiwa kuchezesha mechi yoyote kwa mwaka mmoja. Malinzi alipoingia madarakani akawasamehe waamuzi wote waliofungiwa, na huyu jamaa akaponea hapo. Badala ya kuonyesha watanzania kuwa ameshajirekebisha, anarudia makosa makubwa matatu; kukataa goli halali, kukubali goli lisilo halali na kutoa kadi nyekundu. Sasa huyo Malinzi aliyemfungulia kifungo ndio atengeneze viti, maana aliwaona waliomfungia jamaa kuwa ni wajinga!