NABII MTARAJIWA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 878
- 1,201
Minard Ayo kafanyaje hadi wamsusie? Juzi kuna Nabii wa nchini Kenya alitoa ushauri kwa Rais na akamwambia afungulie kanisa la Gwajima na asitakebkugombana na Mungu. Pia akasema hakuna mtu anayeweza kuzuia wazo ambalo muda wake umefika!Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Hatutaki serikali ya kitekaji,kibakaji kifiraji,,,,watanganyika ndo Wanafirwa wakitekwaNimezaliwa kipindi cha ccm..
Mabadliko yanatokea kipindi cha Ccm..
Mna back up plan?
U need people?
Msipingane na agenda mpya!.
Wasikilizeni..act diligently...zama mpya hizi!
Reality!
Eti ni lichawa la CCM, hasimami na wananchiMinard Ayo kafanyaje hadi wamsusie? Juzi kuna Nabii wa nchini Kenya alitoa ushauri kwa Rais na akamwambia afungulie kanisa la Gwajima na asitakebkugombana na Mungu. Pia akasema hakuna mtu anayeweza kuzuia wazo ambalo muda wake umefika!
Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Kila mtu ana uhuru wa kutumia bando lake anavyotakaHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Daniel arapi moi aliwahi kusema nini vileSafi sana.
Kitu kinachowauma CCM ni kukataliwa Kwa CHAUMA, ni kilio na kusaga meno walidhani watawaraghai raia ,ila CHAUMA wamekutana na zomea zomea, X Wana wafuasi 900 😁😁P pers
Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
Daniel arapi moi aliwahi kusema nini vile
Mtandao gani mkuutbc_online wamefunga comments hawataki maoni ya wananchi kwa sasa
Ngoja wajichanganyeWatu wanaruka na wasanii, yaani sahivi msanii akiumwa akaomba msaada raia watampopoma
Sababu Chadema haipo, December Chaumma, ACT zitakuwa more popular than Chadema.Kitu kinachowauma CCM ni kukataliwa Kwa CHAUMA, ni kilio na kusaga meno walidhani watawaraghai raia ,ila CHAUMA wamekutana na zomea zomea, X Wana wafuasi 900 😁😁
Kwanini July waanze sahiviSababu Chadema haipo, December Chaumma, ACT zitakuwa more popular than Chadema.
Sababu Kwa miezi mitatu kuanzia July to October Chadema itakuwa kimya, kupinga uchaguzi. Wenzao watakakampeni kufanya reforms ndanj ya uchaguzi.
Ilo taperi habari za Chadema halipost, halijawai kuhoji waanga wa utekaji,mauaji, ubakaj na ufirajinime unfollow huyu mazafaka sipendi ujinga
Sure hakuna wajutegemea kupata habari Kwa Millard Ayo#NoReformNoElection
Unfollow wajinga wajinga.
Siku ya uchaguzi wa maigizo watanzania wengi wapenda haki hawatajitokeza ni ibirisi na watekaji wauaji pekee watapanga foleni kupiga kura haramu za kishetaniHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Wapo na ibirisi wa ccm lao mojaIlo taperi habari za Chadema halipost, halijawai kuhoji waanga wa utekaji,mauaji, ubakaj na ufiraji
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wakeHatutaki serikali ya kitekaji,kibakaji kifiraji,,,,watanganyika ndo Wanafirwa wakitekwa
Vyovyote, hi hivi Chadema wangeenda kwenye uchaguzi kupigania kuondoa ufisadi, dhuluma, uonevu, kupigania haki.Kwanini July waanze sahivi