Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hii Dautch inanichanganya nisaidieni kuielewa, naona inatumika mara mbiliDutch Prime Minister Dick Schoof
Dautch ya Armstadam
Dautch ya Ujeruman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Dautch inanichanganya nisaidieni kuielewa, naona inatumika mara mbiliDutch Prime Minister Dick Schoof
Kuna nchi chache mno ziliamka mapema , zikadhibiti hili, UK, germany,uholanzi wakalala, sasa ndio wanahangaika tayari wakiwa wameona side effect na true behaviour za hawa watuWakati nchi za Ulaya wanajifanya wema sana kuwakaribisha wakimbizi fake toka nchi za Kiarabu tulishawaonya kwa lugha mbalimbali hawakutuelewa. Walituona nyani kasoro mikia. Sasa ngoja wakipate na bado. Waarabu wamehamia Ulaya kazi yao kubwa kununua makanisa na kugeuza misikiti. Wazungu mabwege sana.
Lakini hata hapa kwetu wamejipenyeza wengi na wanazaa sana kwa kasi ya 5GWakati nchi za Ulaya wanajifanya wema sana kuwakaribisha wakimbizi fake toka nchi za Kiarabu tulishawaonya kwa lugha mbalimbali hawakutuelewa. Walituona nyani kasoro mikia. Sasa ngoja wakipate na bado.
Sisi tumewakabidhi jiko watupikieKuna nchi chache mno ziliamka mapema , zikadhibiti hili, UK, germany,uholanzi wakalala, sasa ndio wanahangaika tayari wakiwa wameona side effect na true behaviour za hawa watu
Itabidi wasakwe mlango kwa mlango, hawa wahamiaji wa kutokea huko uarabuni kule hiyo dini ilibuniwa wamekua kero.....
Mpaka sasa wamekamatwa 62
Witnesses described about 100 men, whom they described as Arabs, assaulting Israelis in a coordinated manner on Friday morning.
Outrage, focus on Muslim migrants after Amsterdam ‘pogrom’
Some Dutch officials said that the attacks were due to unchecked immigration from the Middle East, while others avoided the subject of the attackers' identity.
CANAAN LIDOR
![]()
Dutch Prime Minister Dick Schoof addresses journalists on the clashes that erupted after a Europa League football match between Ajax Amsterdam and Maccabi Tel-Aviv in Amsterdam overnight, on the sidelines of an Informal Meeting of Heads of State or Government of the European Union in Budapest, on Nov. 8, 2024. Photo by Ludovic Marin/AFP via Getty Images.
Amsterdam police detained 62 people in connection with a series of antisemitic assaults against Israeli soccer fans, which resulted in five moderate injuries and about 20 to 30 minor ones, in the Dutch capital, the city’s prosecutor René de Beukelaer said at a Friday press.
The five injured people were treated in the hospital and discharged, De Beukelaer said during the briefing with Femke Halsema, the Amsterdam mayor
View: https://x.com/geertwilderspvv/status/1854751655591350331
ukweli ni kwamba waliowashambulia hao Israelis sio wapalestina na waarabu pekee kama mnavyokuza huo upuuzi, kinachofanyika Gaza ni ugaidi na ukatili uliopindukia kitu kinachopelekea watu kutoka jamii tofauti, utaifa, ukabila na hata dini tofauti kujenga chuki juu ya Israeli, Israeli inaua watoto kwa makusudi, wanaua wanawake kwa makusudi.
Acha wapigwe ili kusudi wapate akili na watambue nchi yao inachofanya Gaza haipendezi, wapeleke salamu kwa Netanyahu....
unaisha uswahilini afu unapingana na waandishi waliopo live.
Japo ww umesema kweli tujadiliane ukweli uliomezani sio uwongo wa ki propaganda za Udin Uharabu sasa hoja wanaiyalibu kwa kuingiza vitu visivokuwepo baada tukio kwann wazungu wanachukua wazayuni kias kile wamewapiga wengime awajulikani walipo.Bora Israel walipewa nchi yao, wangeendelea kuteseka sana
Hayo magaidi yalipoua watoto oct 7 baada ya kuvamia israel si mlikua mnashangilia tulieni mpelekewe motoWapigwe tu mama hakuna namna nyingine. Waisraeli ni washamba sana. Wanaua watoto na akina mama wasio na hatia. Wafanywe kama kipindi cha nyuma wakionekana popote duniani washambuliwe. Ndio watashika adabu Yao.
Aliyewaloga sijui alitumia mzizi gani ..utasikia prey for isreli lakin kamwe huwezi sikia wa isreli wakiwaombea waafrika ..jukumu walilopewa ni wao kuombea Israel tu na si vinginevyoWakiristo wa jf mumepewa nini na mayahudi?
Tatizo walianzisha wenyewe unataka wafanyaje mkuu?? Shida hii yote ilianzia october 7 bila hii kutokea pangekuwa shwari kidogo ..............sasa kinachotokea ni wao wenyewe wapambane maana moto waliutaka........na nyie wengine mjikite katika kufanya mambo yenu kama kulima vibustani vya mchicha na mchai chai maana mnapoteza muda wenu ......Netanyahu hana mchezo kabisa .........kwenye hili nasapoti sababu ya kuuliwa bila hatia ndugu zetu watanzania wawili .............mwenyezi mungu hawape pumziko la milele amina.............ukweli ni kwamba waliowashambulia hao Israelis sio wapalestina na waarabu pekee kama mnavyokuza huo upuuzi, kinachofanyika Gaza ni ugaidi na ukatili uliopindukia kitu kinachopelekea watu kutoka jamii tofauti, utaifa, ukabila na hata dini tofauti kujenga chuki juu ya Israeli, Israeli inaua watoto kwa makusudi, wanaua wanawake kwa makusudi.
Acha wapigwe ili kusudi wapate akili na watambue nchi yao inachofanya Gaza haipendezi, wapeleke salamu kwa Netanyahu...
Wewe upo Tanzania, habari tunayo isoma ni ya kiongozi wa nchi husika; wewe na huyo kiongozi nani anaujua ukweli zaidi? Tusitake kudanganyana hapa, waislamu hawawezagi kukaa na jamii au dini/imani zingine, lazima walete shida tu. Tanzania hapa wanafanya hivo, popote duniani wakiwa waislamu walau 1000 tu, tatizo hilo. Uislamu una aleji na AMANI, period. Bila mkono wa chuma, waislamu wataua yeyote na popoteukweli ni kwamba waliowashambulia hao Israelis sio wapalestina na waarabu pekee kama mnavyokuza huo upuuzi, kinachofanyika Gaza ni ugaidi na ukatili uliopindukia kitu kinachopelekea watu kutoka jamii tofauti, utaifa, ukabila na hata dini tofauti kujenga chuki juu ya Israeli, Israeli inaua watoto kwa makusudi, wanaua wanawake kwa makusudi.
Acha wapigwe ili kusudi wapate akili na watambue nchi yao inachofanya Gaza haipendezi, wapeleke salamu kwa Netanyahu...
Ukatili gani unafanyika gaza zaidi ya maigizo wameachiwa Aljazeera yaani ukitizama ni vichekesho tupu hayo mnayoitq ukatili. Inamaana watu wa Gaza wote wanauliwa pakiwepo watoto na kina mama tu huo upuuzi bakini nao Qatar wadhamini wakuu wa propaganda.. Gaza wanakufa Hamas na IDF .. mnaleta fujo mkipigwa mnasema mnaonewa pumbavu.ukweli ni kwamba waliowashambulia hao Israelis sio wapalestina na waarabu pekee kama mnavyokuza huo upuuzi, kinachofanyika Gaza ni ugaidi na ukatili uliopindukia kitu kinachopelekea watu kutoka jamii tofauti, utaifa, ukabila na hata dini tofauti kujenga chuki juu ya Israeli, Israeli inaua watoto kwa makusudi, wanaua wanawake kwa makusudi.
Acha wapigwe ili kusudi wapate akili na watambue nchi yao inachofanya Gaza haipendezi, wapeleke salamu kwa Netanyahu...
Bwana wetu Yesu Kristo ni myahudi acha tuwapendeWakiristo wa jf mumepewa nini na mayahudi?
Quran imekuulezeni vizuri tuBwana wetu Yesu Kristo ni myahudi acha tuwapende