Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Mlikatika viunu angali hai ili "muonwe" sasa mnajilisha upepo maana hakuna anaewaonaNilijua tu make site ni kwa chuma ndo aliweza kulala hadi kwenye madaraja ...wizi kila kona sahvi na ndo kwanza miezi 2 bado. Ungozi siyo lelemama na wasione vyaelea jamani wapo waliokuwa tayari kufa kwa ajiri ya nchi ila sasa walaji wamekaribishwa tena
Huo ni wizi kama wizi mwingine tu, uhujumu ungetokea kama Daraja lingekuwa limekamilika. Hizi minds za Magu ziondieni, hao ni wezi wamekamatwa wapelekwe mahakamani na taratibu ziendelee.Vifaa vyenye thamani ya bilioni 16 vya kujenga daraja la Busisi vimeibwa eneo la Kigongo Busisi Mwanza
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi wa daraja la JPM linalojengwa kwa fedha za serikali, zaidi ya bilioni 600 katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza huku wanaohujumu miundombinu hiyo wakipewa onyo kali.
Hata hivyo wezi hao wamekamatwa maeneo ya Sengerema, Ushirombo na Kigoma
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndio nashangaa wanasema ni uhujumu, ingekuwa daraja limekamilika hapo tungesema wanahujumu. Huu no wizi wa kawaida sema naona RPC anatafuta sehemu ya ulaji, wapewe kulinda ili wawe wanapewa posho pale. Same wanavyofanya kwa YAPI MERKEZI wanalinda wanapewa viposho flani.Biidhaa zilizoibwa ni mali ya mkandarasi, amelipwa ili anunue, ajenge.
Vipo chini ya ulinzi wake.
Atafute vingine ajenge daraja letu aache janja janja.
Huo sio udokozi kama ilivyozoeleka kwenye Miradi MikubwaVifaa vyenye thamani ya bilioni 16
pumbaNilijua tu make site ni kwa chuma ndo aliweza kulala hadi kwenye madaraja ...wizi kila kona sahvi na ndo kwanza miezi 2 bado. Ungozi siyo lelemama na wasione vyaelea jamani wapo waliokuwa tayari kufa kwa ajiri ya nchi ila sasa walaji wamekaribishwa tena
Naungana nawe, implication ni kwamba huyu IGP kwa sasa hawajibiki kama alivyokuwepo Mwendazake, hii ina maana amerelax, ni vema Mama ukajenga timu yako mpya kwenye hili eneo la usalama, wengi tunamuona huyu IGP alikuwa wa mtu si wa watu amepwaya.Mama anadhani wizi unakomeshwa nanaskari mmoja tu. Hapo wa kumkemea ni IGP kwa nini wizi inaongezeka
hana rekodi nzuri kwa tunaomfahamuYule askari wa mwanza nani yule aliedhibiti wizi arejeshweeee
Acha uduanzi mkuu....mwendazake alikuwa rais na sio polisi. Suala LA busisi ni la kipolisi na ndo maana watuhumiwa wamekamatwa.Najua ipo siku moja mtanikumbuka kwa mema yangu na sio kwa mabaya.(R.I.P JPM)
Wezi na majangili wa lasrimali za Taifa hili wameshaanza kurudi kwa kasi.
Huna akili wewe kama unasema Sirro amepwaya..IGP bora kabisa nchi hii kuwahi kuwa naeNaungana nawe, implication ni kwamba huyu IGP kwa sasa hawajibiki kama alivyokuwepo Mwendazake, hii ina maana amerelax, ni vema Mama ukajenga timu yako mpya kwenye hili eneo la usalama, wengi tunamuona huyu IGP alikuwa wa mtu si wa watu amepwaya.
Amepwaya kabisaHuna akili wewe kama unasema Sirro amepwaya..IGP bora kabisa nchi hii kuwahi kuwa nae
Wambura hana record nzuri unamjua au unabahatisha ?? Huyo kiboko utasikia Dar itatuliahana rekodi nzuri kwa tunaomfahamu
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
sio huyo, umerukia, namsema mwingine aliyekuwa Mwanza, jina withheldWambura hana record nzuri unamjua au unabahatisha ?? Huyo kiboko utasikia Dar itatulia
mama anasema si vyema kutumia mabavu.busara itumike ana familia na watu wanamtegemea.Hawa wezi wapewe kesi ya uhujumu uchumi, haiwezekani Serikali iingie gharama kubwa kwenye miradi halafu mtu aje kuhujumu kirahisi hivi.
wake zenu watachepuka mseme ni mwendaze.magenge ya mwendazake yanaona yasije kuambulia patupu[emoji28][emoji28]