Uhujumu Miundombinu: Vifaa vya ujenzi daraja la Busisi vyaibwa, watu 8 mbaroni

Uhujumu Miundombinu: Vifaa vya ujenzi daraja la Busisi vyaibwa, watu 8 mbaroni

Nilijua tu make site ni kwa chuma ndo aliweza kulala hadi kwenye madaraja ...wizi kila kona sahvi na ndo kwanza miezi 2 bado. Ungozi siyo lelemama na wasione vyaelea jamani wapo waliokuwa tayari kufa kwa ajiri ya nchi ila sasa walaji wamekaribishwa tena
Mlikatika viunu angali hai ili "muonwe" sasa mnajilisha upepo maana hakuna anaewaona
 
Vifaa vyenye thamani ya bilioni 16 vya kujenga daraja la Busisi vimeibwa eneo la Kigongo Busisi Mwanza

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi wa daraja la JPM linalojengwa kwa fedha za serikali, zaidi ya bilioni 600 katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza huku wanaohujumu miundombinu hiyo wakipewa onyo kali.

Hata hivyo wezi hao wamekamatwa maeneo ya Sengerema, Ushirombo na Kigoma


Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Huo ni wizi kama wizi mwingine tu, uhujumu ungetokea kama Daraja lingekuwa limekamilika. Hizi minds za Magu ziondieni, hao ni wezi wamekamatwa wapelekwe mahakamani na taratibu ziendelee.

Magu alipenda kutumia Sheria ya kishenzi ya uhujumu uchumi sababu haina bail, anajiweka ndani miaka kadhaa mpaka mwenyewe unakubali kukiri makosa na unalipa hela maana alijua hana hela so namna ya kupata ilikuwa kulazimisha tu uzitapike . Anahakikisha anakufilisi ndio anakuachia Ile ni ujambazi na Sheria ipo kwenye mabadiliko kwa sasa.
 
Biidhaa zilizoibwa ni mali ya mkandarasi, amelipwa ili anunue, ajenge.
Vipo chini ya ulinzi wake.
Atafute vingine ajenge daraja letu aache janja janja.
Ndio nashangaa wanasema ni uhujumu, ingekuwa daraja limekamilika hapo tungesema wanahujumu. Huu no wizi wa kawaida sema naona RPC anatafuta sehemu ya ulaji, wapewe kulinda ili wawe wanapewa posho pale. Same wanavyofanya kwa YAPI MERKEZI wanalinda wanapewa viposho flani.
 
Hiyo ni hujuma dhidi ya Nchi yetu Tanzania wakibainika (bila kubambikiwa wasiokuwa na Hatia) Mahakama itoe Adhabu kali ya Mfano
 
Nilijua tu make site ni kwa chuma ndo aliweza kulala hadi kwenye madaraja ...wizi kila kona sahvi na ndo kwanza miezi 2 bado. Ungozi siyo lelemama na wasione vyaelea jamani wapo waliokuwa tayari kufa kwa ajiri ya nchi ila sasa walaji wamekaribishwa tena
pumba
 
Hakuna wizi wowote wanatimiza maneno ya dikteta magufuli (Mtanikumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya)Kweli ccm ni ileile hakuna jipya wezi wa kubwa
 
Mama anadhani wizi unakomeshwa nanaskari mmoja tu. Hapo wa kumkemea ni IGP kwa nini wizi inaongezeka
Naungana nawe, implication ni kwamba huyu IGP kwa sasa hawajibiki kama alivyokuwepo Mwendazake, hii ina maana amerelax, ni vema Mama ukajenga timu yako mpya kwenye hili eneo la usalama, wengi tunamuona huyu IGP alikuwa wa mtu si wa watu amepwaya.
 
SIO KWELI.VIFAA VYA BILIONI 16?
hapo kuna viongozi nao wamepiga
Screenshot_20210428-154405.jpg
 
Najua ipo siku moja mtanikumbuka kwa mema yangu na sio kwa mabaya.(R.I.P JPM)
Wezi na majangili wa lasrimali za Taifa hili wameshaanza kurudi kwa kasi.
Acha uduanzi mkuu....mwendazake alikuwa rais na sio polisi. Suala LA busisi ni la kipolisi na ndo maana watuhumiwa wamekamatwa.

Kuaminishwa na kukaririshwa ni zaidi ya uchawi nchi hii
 
Naungana nawe, implication ni kwamba huyu IGP kwa sasa hawajibiki kama alivyokuwepo Mwendazake, hii ina maana amerelax, ni vema Mama ukajenga timu yako mpya kwenye hili eneo la usalama, wengi tunamuona huyu IGP alikuwa wa mtu si wa watu amepwaya.
Huna akili wewe kama unasema Sirro amepwaya..IGP bora kabisa nchi hii kuwahi kuwa nae
 
Hawa wezi wapewe kesi ya uhujumu uchumi, haiwezekani Serikali iingie gharama kubwa kwenye miradi halafu mtu aje kuhujumu kirahisi hivi.
mama anasema si vyema kutumia mabavu.busara itumike ana familia na watu wanamtegemea.
 
Back
Top Bottom