Uhujumu Miundombinu: Vifaa vya ujenzi daraja la Busisi vyaibwa, watu 8 mbaroni

Achen uchawi nyie, mnapambana sana kuaminisha umma kua Rais Samia hafai, lkn hamtofanikiwa. Kashafariki Imeisha hiyoo.
Kipingi cha mwendazake kulikuwa na wizi wa kifala fala kama sasa hivi?
 
Baadhi ya wapumbavu watadhani uizi huo wa vifaa vya mabilioni umeanza sasa... pia hawajiulizi kwanini vikamatwe na wezi wake pia,!! Kuna wizi kufanyika ukatangazwa ama wakapiga kimya ili kuonesha hali i shwari...
Majizi yalikuwako, yapo na yanaweza kuendelea kuwepo. Jukumu letu sote kukomesha hizo tabia za majizi ama kununua vitu vya wizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…