Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Tunafeli sana wanaume....dont date broke ladies bwanaUnamhudumia kwa kila kitu kwani ni mkeo? Au ni mzazi wake? Vijana acheni kujitwisha majukumu yasiyo yenu kisha mnakuja kulia lia humu.
Mwanamke wa hvyo achana nae bro aya atakusumbua huko mbeleWakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa anakupa kila baada ya miezi 3 au miwili.
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Kataa ndoa mama Dick son...🤣Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku
Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
Ataki kuolewa kwa sasa ana miaka 23 kasema mpaka afikishe 27Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku
Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
1. Ni hanithi wa kike hivyo hana hisiaWakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa anakupa kila baada ya miezi 3 au miwili.
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Mimi nilimuomba mara 1 tu kwa wiki kagoma tena kwa herufi kubwa na leo anaplan ya kuja nimpe hela ya kusuka na matumizi mengineNdio sex kila siku inachosha, angalau mara saba kwa wiki😭😭
hang over is real
Shukran broHuyo achana nae ni dada poa huyo
Toa ushauri mkuu acha maneno mengiWanaume siku hizi wazembe saana
Sawa mkuuTunafeli sana wanaume....dont date broke ladies bwana
Shukran kakaAcha uzembe kimyakimya sitisha huduma na tafuta mbunye nyingine