Uhuni katika mahusiano

Uhuni katika mahusiano

1. Ni hanithi wa kike hivyo hana hisia
2. Alikeketwa hivyo hisia zimepungua sana
3. Anakupenda kwa unavyomjali ila hana hisia za kingono nawewe
4. Kaongopewa kwamba ngono inazeesha
5. Ana mwingine ila hajawa na hakika naye.. Wewe umewekwa kama pori la hakiba
6. Ameingia kwenye vitendo vya usagaji
Shukran nguli nimeheshimu sana fact zako
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
mbona rahisi tu hiyo, na wewe mhudumie baada ya miezi 3 au miwili
 
Wewe ni BOYA....

The moment mwanamke anatamka tu hiyo statement unapaswa umpige chini palepalee..

Kimsingi mwanaume unatakiwa uamue ni muda gani uile ndiyo ule, ama ule ndo uje uile...

Mapumziko ni kipindi cha danger na akiwa period tu!
Ni rahisi na yeye kupiga chini kama Hana hisia nae pia
 
Wewe ni BOYA....

The moment mwanamke anatamka tu hiyo statement unapaswa umpige chini palepalee..

Kimsingi mwanaume unatakiwa uamue ni muda gani uile ndiyo ule, ama ule ndo uje uile...

Mapumziko ni kipindi cha danger na akiwa period tu!
Sawa mkuu shukrani
 
Mbona rahisi we ngoja siku akiileta ichape hasa Kisha mforce aondoke una mishe zingine usingoje hadi aondoke mwenyewe we mforce haswa hata ikibidi kumvuta nje
Baada ya hapo tafuta mwingine na yeye akiwepo usitangaze kumuacha (ni udhaifu) mpige matukio aondoke mwenyewe
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Hmmmm kwaiyo kwenye yooote unayomfanyia yeye anakulipa "K" tu in return,
na bado unabembeleza aendelee kuwepo.
 
Back
Top Bottom