Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #21
Shukran bloidPole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran bloidPole sana mkuu
Shukran nguli nimeheshimu sana fact zako1. Ni hanithi wa kike hivyo hana hisia
2. Alikeketwa hivyo hisia zimepungua sana
3. Anakupenda kwa unavyomjali ila hana hisia za kingono nawewe
4. Kaongopewa kwamba ngono inazeesha
5. Ana mwingine ila hajawa na hakika naye.. Wewe umewekwa kama pori la hakiba
6. Ameingia kwenye vitendo vya usagaji
Mimi ningechunguza kwanza sababu halisi.. Wanawake pia wanapitia mengi zikiwemo kumbukumbu za kubakwaHuyo achana nae ni dada poa huyo
😂😂😂😂Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku
Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
mbona rahisi tu hiyo, na wewe mhudumie baada ya miezi 3 au miwiliWakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Kuna trauma za kubakwa piaShukran nguli nimeheshimu sana fact zako
Shukrani bloodMwanamke wa hvyo achana nae bro aya atakusumbua huko mbele
Ni rahisi na yeye kupiga chini kama Hana hisia nae piaWewe ni BOYA....
The moment mwanamke anatamka tu hiyo statement unapaswa umpige chini palepalee..
Kimsingi mwanaume unatakiwa uamue ni muda gani uile ndiyo ule, ama ule ndo uje uile...
Mapumziko ni kipindi cha danger na akiwa period tu!
Kwenye kubakwa hapana ila romance anapenda sana ila mzigo ataki kutoaKuna trauma za kubakwa pia
Sawa mkuu shukraniWewe ni BOYA....
The moment mwanamke anatamka tu hiyo statement unapaswa umpige chini palepalee..
Kimsingi mwanaume unatakiwa uamue ni muda gani uile ndiyo ule, ama ule ndo uje uile...
Mapumziko ni kipindi cha danger na akiwa period tu!
😅Dah nimexperience hii kitu hakuna msichana anataka kuolewa under 25 wote wanataka kutombwer tu huo umriAtaki kuolewa kwa sasa ana miaka 23 kasema mpaka afikishe 27
Vipi kuhusu kuhudumiwa au kupewa hela?Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku
Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
Aminia mwananguMkuu nawe muhudumie after 3/2 months akikup show
Mkuu,unachanganya Wanaume na Wavulana,Tunafeli sana wanaume....dont date broke ladies bwana
Hmmmm kwaiyo kwenye yooote unayomfanyia yeye anakulipa "K" tu in return,Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Sasa bora hao wengine huyu mzigo ataki kutoa kabisa😅Dah nimexperience hii kitu hakuna msichana anataka kuolewa under 25 wote wanataka kutombwer tu huo umri
Ifutwe haraka iwezekanavyo, hili tendo linaleta migogoro na mikele sana.Kutoka kwa Evelyn Salt "sex ifutwe"