Uhuni katika mahusiano

Uhuni katika mahusiano

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
 
Wewe ni BOYA....

The moment mwanamke anatamka tu hiyo statement unapaswa umpige chini palepalee..

Kimsingi mwanaume unatakiwa uamue ni muda gani uile ndiyo ule, ama ule ndo uje uile...

Mapumziko ni kipindi cha danger na akiwa period tu!
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa anakupa kila baada ya miezi 3 au miwili.

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Mwanamke wa hvyo achana nae bro aya atakusumbua huko mbele
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa anakupa kila baada ya miezi 3 au miwili.

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
1. Ni hanithi wa kike hivyo hana hisia
2. Alikeketwa hivyo hisia zimepungua sana
3. Anakupenda kwa unavyomjali ila hana hisia za kingono nawewe
4. Kaongopewa kwamba ngono inazeesha
5. Ana mwingine ila hajawa na hakika naye.. Wewe umewekwa kama pori la hakiba
6. Ameingia kwenye vitendo vya usagaji
 
Back
Top Bottom