Uhuni katika mahusiano

Shida ya vitoto vya 2000 ndo hy, tafuta mshangazi uone kama hajakwambia 2x3/7/365
 
Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku

Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
Sasa itakuaje na wewe mwenyekiti unapenda mizagamuo, utaiweza kweli hiyo ajenda??
 
Duh. Na bado uko naye?!
BWAGA HARAKA SANA! UTAPATA STRESS MWANAUME!
 
Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku

Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
🀣🀣🀣 Kilasiku ni kwa mume tu
 
Hakupendi ana mwanaume mwingine anae mpa, wewe kwako anataka hayo matunzo au huduma.
 
Aaah au sio unawasakizia wenzie watekeleze huku wewe unagunia kwa raha

Mambo ya sex hayana muongozo
Wewe unaamini mpenzi wa mleta mada ni kweli hataki kufanya sex hadi miezi mitatu ipite ama jamaa hajapendwa tu?
 
Mambo ya sex hayana muongozo
Wewe unaamini mpenzi wa mleta mada ni kweli hataki kufanya sex hadi miezi mitatu ipite ama jamaa hajapendwa tu?
Jamaa ni aina ya wanaume wale lialia na mpenzi bila shaka hapendi hayo mambo. Ila jamaa kujiongeza hawezi ye analialia na kuomba nyapu kama vile ni bidhaa kailipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…