Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara.
Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi:
1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada.
2. Baada ya Korosho kununuliwa zitawekwa kwenye malori na kwenda kwenye bandari ya Mtwara kwaajili ya kupimwa uzito.
3. Baada ya kupimwa uzito magari yataanza safari kuelekea bandari ya Dar kwaajili ya kusafirishwa kwenda ughaibuni.
Inasemekana kampuni ya GSM ndiyo itasafirisha kutoka Mtwara kwenda dar.
Wakazi wa Mtwara wananong'ona kuwa kulikuwa na haja gani kupanua bandari maana kwasasa inauwezo wa kusafirisha tani milioni 1 kwa mwaka.
Wananong'ona kuwa zile ajira walizokuwa wanapata vijana pale bandarini kipindi cha msimu tena kwa shift ndiyo basi tena?
By: kiherehere, Mzee wa kuchakata mbususu.