Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
- Thread starter
- #41
Wamekusikia bwana jeikeiWashauri hao vijana wageukie kwenye kulima mikorosho kuliko kutegemea ajira za msimu na tena ajira zenyewe ni ukuli tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekusikia bwana jeikeiWashauri hao vijana wageukie kwenye kulima mikorosho kuliko kutegemea ajira za msimu na tena ajira zenyewe ni ukuli tu...
Eti ofisi za imma Basi ulichoandika ni majunguIko hivi.....
Kutokana na utafiti usio rasmi ambao umefanyika na mtu mzalendo ni kwamba....
1.asilimia kubwa ya viongozi wa umma na watumishi sio wazalendo(Kama anajiita mzalendo BASI ni mnafiki kuna kamrija mahali anafaidika nacho)
2. Hawana kiasi;- akiwa anakula hakimbuki pia kuna kesho, pia anataka ashibe yeye tu. Yuko radhi ghala lake lijae nafaka na ziozee humo huku jamii iliyo mzunguka inakufa njaa.
3. Akiwa kwenye ofisi ya imma, ufahamu wake unasema ofisi ni KWa ajili yake... Hapo anasau kuwa yupo KWa ajili ya imma.
Nakumbuka kuna stori moja rafiki yangu alikuwa mwandishi wa habari kitambo hiko..... Alisema kuwa... Kuna kipindi kuna kampuni kutoka nchi moja huko ughaibuni barani ulaya, ulitaka kujenga kiwanda cha magari... Lakini kuna baadhi ya mawaziri walikwamisha jitihada KWa sababu kuna asilimia wanapata kutokana na uagizaji magari nje ya nchi.... Maelezo hayo ulipata KWa moja ya mwakilishi wa ile kampuni
Typing error,,,, ni umma si immaEti ofisi za imma Basi ulichoandika ni majungu
Huna unachojuaHueleweki