Uhuni: Korosho sasa kusafirishwa kwa malori kwenda bandari ya Dar es Salaam

Mimi nawaaminia sana wana Mtwara wakiamua wanaweza, nakumbuka 2015 walikesha pale wakifanya makazi yao pale barabarani wakisubiri matokeo ya ubunge.
 
Ridhiwani nenda ukalale.
 
Biash

Mnunuzi ndiye anayeamua atasafirisha korosho zake kupitia bandari ipi sio suala la wewe kuamua. Kabla hujalalamika kwanza jenga uelewa wa ja.mbo. Gharama za biashara ndo determinant kubwa ya kuamua namna nzima wapi mtu atanunua na kupitia wapi atasafirisha. Unaweza kuta hiyo bandari ya mtwara haina makontena ya kutosha na ili kusafirisbia toka mtwara itabidi makontena yaletwe toka Dsm hivyo kupelekea gharama kuwa juu na kupelekea mkulima kuuza korosho kwa bei ndogo zaidi.
 
Acha waumie ndio wapate akili ili wawe magaidi na wengine wavuke Msumbiji kisha wajipange kuingiza ugaidi kama wa Msumbiji miaka ijayo.

Economification of Mtwara ni muhimu sana Kwa taifa hili. Majuto ni mjukuu. Vijana wa Al Shabaab kule Cabodelga wengi ni wetu tuwe makini.
 
Mbona pouwa TU!! Huoni Madereva WA Malori wanapata Kwa kuongezeka safari za Malori!? Wote ni watanzania
 
Swala sio.kupanua bandari bali ni msafirishaji ndio anaamua atumie bandari ipi na Kwa gharama zipi.
Lengo ni kumminya mkulima kwny bei. Ikisafirishwa kupitia bandari ya mtwara analipa zaidi kuliko ikipitia bandari ya dsm.

Yaani cost ya usafiri anapewa mkulima kweny kila kilo
 
GSM kishaachiwa Yanga na kila kitu yaani !!
 
Huyu GSM anashika kila kitu ni nani huyu??
 
Wacha tufaidike na sisi Madereva kazi zinakuwa nyingi na mzunguko wa fedha unakuwa mkubwa.

Hiyo Miji yote ya Barabarani itafaidika Mnazi mmoja Lindi Somanga wajiandae😀

Na Mandela Road nako wajiandae na msongamano.
eating good.
 
Washauri hao vijana wageukie kwenye kulima mikorosho kuliko kutegemea ajira za msimu na tena ajira zenyewe ni ukuli tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…