Iko hivi.....
Kutokana na utafiti usio rasmi ambao umefanyika na mtu mzalendo ni kwamba....
1.asilimia kubwa ya viongozi wa umma na watumishi sio wazalendo(Kama anajiita mzalendo BASI ni mnafiki kuna kamrija mahali anafaidika nacho)
2. Hawana kiasi;- akiwa anakula hakimbuki pia kuna kesho, pia anataka ashibe yeye tu. Yuko radhi ghala lake lijae nafaka na ziozee humo huku jamii iliyo mzunguka inakufa njaa.
3. Akiwa kwenye ofisi ya imma, ufahamu wake unasema ofisi ni KWa ajili yake... Hapo anasau kuwa yupo KWa ajili ya imma.
Nakumbuka kuna stori moja rafiki yangu alikuwa mwandishi wa habari kitambo hiko..... Alisema kuwa... Kuna kipindi kuna kampuni kutoka nchi moja huko ughaibuni barani ulaya, ulitaka kujenga kiwanda cha magari... Lakini kuna baadhi ya mawaziri walikwamisha jitihada KWa sababu kuna asilimia wanapata kutokana na uagizaji magari nje ya nchi.... Maelezo hayo ulipata KWa moja ya mwakilishi wa ile kampuni