Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Dhumuni la wewe kusoma udaktari ni kutibu na upate pesa. What if kama unaweza pata pesa kwa njia nyingine tofauti na huwa udaktari utaacha kufanya?.
Dhana ya "Jamii itanichukuliaje" imeua mioyo ya mabilionea wengi sana mtaani
 
Nmefanya sana interview za utumishi, kama huna vitu walivyokwambie uje navyo baasi hawana msamaha,

Nadhani wengi wao Wana copy za vyeti au vitambilisho.
 
Dhumuni la wewe kusoma udaktari ni kutibu na upate pesa. What if kama unaweza pata pesa kwa njia nyingine tofauti na huwa udaktari utaacha kufanya?.
Dhana ya "Jamii itanichukuliaje" imeua mioyo ya mabilionea wengi sana mtaani
Kila daktari akisema akatafute pesa hali itakuwaje? Kuna field sio za kufananisha na shahada za ujasiriamali sijui marketing. Nchi inahitaji madaktari, wanatakiwa waajiriwe na kulipwa vizuri.
 
Reactions: I M
Ndio nimekupa code next time ukiitwa barua Serikali ya Mtaa utambulisho iweke mbele zaidi usisahau wengi wamechinjiwa baharini sababu hawana hio kitu
Maana yake Barua hii ya utambulisho inakuhitaji uwe nayo, hata kama una vitambulisho wanavyovitaka?
 
Mkuu wewe wataka kuwapangia jinsi ya kipanga interview zao, hiyo sio haki yako acha mchakato wao uendelea kwa fair game kwa kila mtu kigezo kama ni kwa kila mtu sioni ubaya hapo.
unamtoaj mtu mbali kuja kumwambia hana sifa ya ziada ? kwann mchujo usingeishia online wakaita watu weny sifa zinazokaribiana ili wafanye huo mchujo wa kuandika
 
hv akili zako ziko timamu ? soma thread na kuelewa sio kutetea kila upumbav wa serikali , kijana ambae hajawai kufanya usaili atajuaje kipi mnahitaji bila nyiny kumpa list inayoeleweka , au huelew kuwa ni hatari kutembea na documents zako zote , zikipotea unaanza moja


HOJA NI KUWA VIJANA WANADAIWA VIELELEZO AMBAVYO HAVIKUTAJWA KWENY TANGAZO LA USAILI
 
Vielelezo gan? Orodhesheni kitu ambacho vijana wamedaiwa na hakikuwepo kwenye Tangazo.
 
tuambie ni nini kimeongezwa sio unaacha mada ju juu
 
Vigezo gani vimeongezwa ,mbona huvitaji?

Mwisho lazima wachache wapate na wengi wakose
 
Na Uganda wamefuta pesa Kwa interns kwamba wakopeshwe kama kwenye boom badala ya kuwalipa salary wakati wako kwenye training.
 
Kila daktari akisema akatafute pesa hali itakuwaje? Kuna field sio za kufananisha na shahada za ujasiriamali sijui marketing. Nchi inahitaji madaktari, wanatakiwa waajiriwe na kulipwa vizuri.
Ni kweli kabisa, lakini wengine tulikimbia miaka 3 sasa kutokana na ujira kuwa mdogo, niliona sitafikia malengo niliyojiwekea nikaamua kwenda kufanya mambo mengine ya tofauti kabisa, maisha yangu ya hii miaka 3 ni tofauti kabisa na miaka 5 ya nyuma. Nawatakia kila la heri ndugu zangu
 
Mbona kasema wazee ni kama tu wadau mmeamua kumkataa mwamba mpaka yaje yawakute ninyi au mnao wajali ndio mtaona mwamba aliwasanua
Hatujamkataa ila taarifa haijakamilika. Walitaka documents zipi ambazo kwenye tangazo hazikuwepo. Mbona rahisi tu πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Hatujamkataa ila taarifa haijakamilika. Walitaka documents zipi ambazo kwenye tangazo hazikuwepo. Mbona rahisi tu πŸ€·β€β™‚οΈ
Alisema walitaka uwe umevaa badge yenye(name tag)
 
Kwani ni lazima dakitari kujiajiri afungue hospitali? Hapana kuna madakitari wengi wako nje ya fani zao udakitari kaufanya kama addtional income.......
Mkuu, mtu anasomea udaktari aje kua daktari. Hakuna maana mtu asome miaka 5 na intern mwaka mmoja kisha umwambie afungue biashara, udaktari iwe additional source of income.

Je, Rais akafanye biashara urais iwe additional..? Wanajeshi wakatafute fani nyingine uwanajeshi wao uwe additional..? Au hata wabunge wagombee na kuingia gharama za kampeni ila wakishakua wabunge watafute kingine cha kufanya ubunge uwe additional..?

Tafakari kabla ya kuongea unachoongea.
 
Kila daktari akisema akatafute pesa hali itakuwaje? Kuna field sio za kufananisha na shahada za ujasiriamali sijui marketing. Nchi inahitaji madaktari, wanatakiwa waajiriwe na ku

Ila mkishastaaf ndio akili ya biashara inaanza kuja akilini mwenu. Ukiona kuna fursa ina maokoto zaidi ya udaktari kwanini usiupige chini. Hizo ni kazi za wito lakini kama unataka pesa unapoteza muda mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…