Kama vyeti vipi?, uwe na deedpoll au affidavit.Hi
Hivi unajua baadhi ya vyeti huanza surname badala first name?, hivyo huleta ukakasi kuna muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vyeti vipi?, uwe na deedpoll au affidavit.Hi
Hivi unajua baadhi ya vyeti huanza surname badala first name?, hivyo huleta ukakasi kuna muda.
Dhumuni la wewe kusoma udaktari ni kutibu na upate pesa. What if kama unaweza pata pesa kwa njia nyingine tofauti na huwa udaktari utaacha kufanya?.Kama nini boss? Usome udaktari halafu ukawe mchuuzi? Tuwe tunajaribu kuelewa mazingira ya graduate wetu. Kwanini ukafanye kazi nje ya fani uliyosomea miaka 11? Kuna mazingira inaweza kutokea hivyo ila katika hali ya kawaida si sawa. Mtu kasoma udaktari, akawe daktari. Mbona mikoa na wilaya nyingi tu zinawahitaji? Kwamba tumefikia level nchi haiitaji madaktari kiasi cha kwamba ukisoma udaktari ukamaliza unaweza endesha boda kwa kukosa kazi?
Kila daktari akisema akatafute pesa hali itakuwaje? Kuna field sio za kufananisha na shahada za ujasiriamali sijui marketing. Nchi inahitaji madaktari, wanatakiwa waajiriwe na kulipwa vizuri.Dhumuni la wewe kusoma udaktari ni kutibu na upate pesa. What if kama unaweza pata pesa kwa njia nyingine tofauti na huwa udaktari utaacha kufanya?.
Dhana ya "Jamii itanichukuliaje" imeua mioyo ya mabilionea wengi sana mtaani
Maana yake Barua hii ya utambulisho inakuhitaji uwe nayo, hata kama una vitambulisho wanavyovitaka?Ndio nimekupa code next time ukiitwa barua Serikali ya Mtaa utambulisho iweke mbele zaidi usisahau wengi wamechinjiwa baharini sababu hawana hio kitu
unamtoaj mtu mbali kuja kumwambia hana sifa ya ziada ? kwann mchujo usingeishia online wakaita watu weny sifa zinazokaribiana ili wafanye huo mchujo wa kuandikaMkuu wewe wataka kuwapangia jinsi ya kipanga interview zao, hiyo sio haki yako acha mchakato wao uendelea kwa fair game kwa kila mtu kigezo kama ni kwa kila mtu sioni ubaya hapo.
hv akili zako ziko timamu ? soma thread na kuelewa sio kutetea kila upumbav wa serikali , kijana ambae hajawai kufanya usaili atajuaje kipi mnahitaji bila nyiny kumpa list inayoeleweka , au huelew kuwa ni hatari kutembea na documents zako zote , zikipotea unaanza mojaHao madktari hawajawahi kwenda dodoma interview waone jinsi watu wanavyorudishwa wakikosa moja ya vigezo! Wale sio mjomba zako kwamba utalia lia usamehewe mkuu! Fuata taratibu wakikuambia fika kwa wakati fanya hivyo! Vinginevyo hata hiyo ya kutokutimiza vigezo ni moja ya usaili! Usaili unaanzia kwenye vitambulisho, vyeti, ndo maana unaitwa mchakato! Ukiona umeitwa kwenye usaili mchakato wa usaili unaanza toka ulipoitwa kwenye usaili! Vijana kuweni makini!
Vielelezo gan? Orodhesheni kitu ambacho vijana wamedaiwa na hakikuwepo kwenye Tangazo.hv akili zako ziko timamu ? soma thread na kuelewa sio kutetea kila upumbav wa serikali , kijana ambae hajawai kufanya usaili atajuaje kipi mnahitaji bila nyiny kumpa list inayoeleweka , au huelew kuwa ni hatari kutembea na documents zako zote , zikipotea unaanza moja
HOJA NI KUWA VIJANA WANADAIWA VIELELEZO AMBAVYO HAVIKUTAJWA KWENY TANGAZO LA USAILI
tuambie ni nini kimeongezwa sio unaacha mada ju juuNaandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Mitano tena
Vigezo gani vimeongezwa ,mbona huvitaji?Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Na Uganda wamefuta pesa Kwa interns kwamba wakopeshwe kama kwenye boom badala ya kuwalipa salary wakati wako kwenye training.Pambaneni zama zimebadirika no free entry
Sasa hivi udaktari ni kama procurement lazima ule interview dadeki
Miaka miwili high school , mitano chuo tena kwa mateso bila bata plus mmwaka mmoja wa intern,
Then pepa la leseni mwanzo wa intern na baada ya intern ukifeli no leseni
Ukitoboa leseni unakutana na interview 😆😆😆😆
Mbaya zaidi wanaokufanyia inyerview ni wenye diplona na advanced diploma za udaktari plus watu wa human resources
Ni kweli kabisa, lakini wengine tulikimbia miaka 3 sasa kutokana na ujira kuwa mdogo, niliona sitafikia malengo niliyojiwekea nikaamua kwenda kufanya mambo mengine ya tofauti kabisa, maisha yangu ya hii miaka 3 ni tofauti kabisa na miaka 5 ya nyuma. Nawatakia kila la heri ndugu zanguKila daktari akisema akatafute pesa hali itakuwaje? Kuna field sio za kufananisha na shahada za ujasiriamali sijui marketing. Nchi inahitaji madaktari, wanatakiwa waajiriwe na kulipwa vizuri.
Hatujamkataa ila taarifa haijakamilika. Walitaka documents zipi ambazo kwenye tangazo hazikuwepo. Mbona rahisi tu 🤷♂️Mbona kasema wazee ni kama tu wadau mmeamua kumkataa mwamba mpaka yaje yawakute ninyi au mnao wajali ndio mtaona mwamba aliwasanua
Alisema walitaka uwe umevaa badge yenye(name tag)Hatujamkataa ila taarifa haijakamilika. Walitaka documents zipi ambazo kwenye tangazo hazikuwepo. Mbona rahisi tu 🤷♂️
Mkuu, mtu anasomea udaktari aje kua daktari. Hakuna maana mtu asome miaka 5 na intern mwaka mmoja kisha umwambie afungue biashara, udaktari iwe additional source of income.Kwani ni lazima dakitari kujiajiri afungue hospitali? Hapana kuna madakitari wengi wako nje ya fani zao udakitari kaufanya kama addtional income.......
nimeandika humu........wahusika wamesikia, event imepita wajitafakarituambie ni nini kimeongezwa sio unaacha mada ju juu
Kila daktari akisema akatafute pesa hali itakuwaje? Kuna field sio za kufananisha na shahada za ujasiriamali sijui marketing. Nchi inahitaji madaktari, wanatakiwa waajiriwe na ku
Ila mkishastaaf ndio akili ya biashara inaanza kuja akilini mwenu. Ukiona kuna fursa ina maokoto zaidi ya udaktari kwanini usiupige chini. Hizo ni kazi za wito lakini kama unataka pesa unapoteza muda mkuuMkuu, mtu anasomea udaktari aje kua daktari. Hakuna maana mtu asome miaka 5 na intern mwaka mmoja kisha umwambie afungue biashara, udaktari iwe additional source of income.
Je, Rais akafanye biashara urais iwe additional..? Wanajeshi wakatafute fani nyingine uwanajeshi wao uwe additional..? Au hata wabunge wagombee na kuingia gharama za kampeni ila wakishakua wabunge watafute kingine cha kufanya ubunge uwe additional..?
Tafakari kabla ya kuongea unachoongea.