Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Upo sawa ila graduate wengi pangu pakavu, wanasubiriwa wamalize waanza kusaidia wadogo na ndugu zao. Akikosa kazi unwambie fungua duka hata huo mtaji tu wa kufungulia duka hana achilia mbali eneo la kufungua hilo duka.
Maneno mazito sanaa haya so the right way ni kutafuta njia ya kupambana na hii situation
 
Kwa hiyo serikali inataka kufunika upungufu wa watumishi hao Kwa kuuaminisha umma kuwa upungufu huo ni Kwa sababu wataalamu wapi mtaani kisa wali fail interview? Nchi ngumu sana hii
Wana ajiri kulingana na bajeti yao kwanza ni finyuu sanaa.
 
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Mfikishie Waziri na Naibu Waziri kule IG na X na ufikishe Ajira Portal malalamiko kule km huna Namba ya Ajira Portal malalamiko sema tukugawie Namba yao Utumishi PSPR ujielezee vizuri, hao Watu kwanini wanataka kuichafua Serikali ya Mama kwa madudu yao ya ajabu?
 
Nimekupata bruh
 
Kama walisema kitambulisho cha Kura nacho kinafaa walikosea Sana. Kitambulisho cha Kura NI taka taka maana unaweza kwenda kujisajili popote Kwa majina yoyote
 
Unashindwa hata kuelewa hoja? Wapange wanavyotaka ila wawafahamishe wasailiwa in advance
exactly, hata watake vitambulisho 1,000, waseme in advance mwenye navyo aje, asiye navyo asipoteza resources zake kuja kwenye interview. asante kwa kunielewa.
 
Mkuu sio kweli ni kujitoa na kufanya hassling tu, ila watanzania wengi hupenda spoon feeding, hawataki critical thinking kupambana na umasikini.
Narudiaa tenaa unaongea ukiwa hujui uhalisia ukoje huku mtaani.

Mtoto wa kimaskini ana hustle kwa njia ipii? Kazi za saidia fundi, nazo zenyewe za msimu, malipo kiduchu, inasaidia kula na kuvaa tyuuh basi.

Mzazi alihangaika kukopa na kuuza mali ili mwanae baadae awe mkombozii, matokeo yake hollah, umaskini unarandaa kwa wazazi had mtoto husika, kwa kuwa kila kitu kilipotezwa.

Unaowazungumzia wee ni walee watoto ambao wazazi wao wana uwezo kifedhaa, hivyo watapewa nyenzo ya kupambana na life kwa namna ingine nje ya taaluma zao.

Ongeaaa sanaa, ila ombaa yasikukute au kukufikia. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Shoga leo umetema madini
 
Taja requirements zikizoongezeka nje ya zike zilizo kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…