Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Upo sawa ila graduate wengi pangu pakavu, wanasubiriwa wamalize waanza kusaidia wadogo na ndugu zao. Akikosa kazi unwambie fungua duka hata huo mtaji tu wa kufungulia duka hana achilia mbali eneo la kufungua hilo duka.
Maneno mazito sanaa haya so the right way ni kutafuta njia ya kupambana na hii situation
 
Kwa hiyo serikali inataka kufunika upungufu wa watumishi hao Kwa kuuaminisha umma kuwa upungufu huo ni Kwa sababu wataalamu wapi mtaani kisa wali fail interview? Nchi ngumu sana hii
Wana ajiri kulingana na bajeti yao kwanza ni finyuu sanaa.
 
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Mfikishie Waziri na Naibu Waziri kule IG na X na ufikishe Ajira Portal malalamiko kule km huna Namba ya Ajira Portal malalamiko sema tukugawie Namba yao Utumishi PSPR ujielezee vizuri, hao Watu kwanini wanataka kuichafua Serikali ya Mama kwa madudu yao ya ajabu?
 
Cheti cha kuzaliwa
Barua ya Serikali ya Mtaa utambulisho
Certificate of Oath isainiwe na Mwanasheria
RITA Certificate kuthibitisha Wewe ni Mtanzania

Hivyo hapo baadhi vyote ubebe na makarabrasha mengi mavyeti yako ya Chuo maleseni mpaka ya udereva beba nenda nayo

Nimekupata bruh
 
Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka

Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
Kama walisema kitambulisho cha Kura nacho kinafaa walikosea Sana. Kitambulisho cha Kura NI taka taka maana unaweza kwenda kujisajili popote Kwa majina yoyote
 
Unashindwa hata kuelewa hoja? Wapange wanavyotaka ila wawafahamishe wasailiwa in advance
exactly, hata watake vitambulisho 1,000, waseme in advance mwenye navyo aje, asiye navyo asipoteza resources zake kuja kwenye interview. asante kwa kunielewa.
 
Mkuu sio kweli ni kujitoa na kufanya hassling tu, ila watanzania wengi hupenda spoon feeding, hawataki critical thinking kupambana na umasikini.
Narudiaa tenaa unaongea ukiwa hujui uhalisia ukoje huku mtaani.

Mtoto wa kimaskini ana hustle kwa njia ipii? Kazi za saidia fundi, nazo zenyewe za msimu, malipo kiduchu, inasaidia kula na kuvaa tyuuh basi.

Mzazi alihangaika kukopa na kuuza mali ili mwanae baadae awe mkombozii, matokeo yake hollah, umaskini unarandaa kwa wazazi had mtoto husika, kwa kuwa kila kitu kilipotezwa.

Unaowazungumzia wee ni walee watoto ambao wazazi wao wana uwezo kifedhaa, hivyo watapewa nyenzo ya kupambana na life kwa namna ingine nje ya taaluma zao.

Ongeaaa sanaa, ila ombaa yasikukute au kukufikia. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Shoga leo umetema madini
 
Unashindwa hata kuelewa hoja? Wapange wanavyotaka ila wawafahamishe wasailiwa in advance. Kama ni fair game how comes wengine wamekuja na vitambulisho vya ziada ambavyo havikutajwa kwenye barua ya wito ? Hili kosa kwa nchi zilizoendelea kama Marekani candidate akilalamika kuhusu hili mchakato wote wa uajiri unaanza upya. Ila kwa Tanzania anything goes.
Taja requirements zikizoongezeka nje ya zike zilizo kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili
 
Back
Top Bottom