Narudiaa tenaa unaongea ukiwa hujui uhalisia ukoje huku mtaani.
Mtoto wa kimaskini ana hustle kwa njia ipii? Kazi za saidia fundi, nazo zenyewe za msimu, malipo kiduchu, inasaidia kula na kuvaa tyuuh basi.
Mzazi alihangaika kukopa na kuuza mali ili mwanae baadae awe mkombozii, matokeo yake hollah, umaskini unarandaa kwa wazazi had mtoto husika, kwa kuwa kila kitu kilipotezwa.
Unaowazungumzia wee ni walee watoto ambao wazazi wao wana uwezo kifedhaa, hivyo watapewa nyenzo ya kupambana na life kwa namna ingine nje ya taaluma zao.
Ongeaaa sanaa, ila ombaa yasikukute au kukufikia. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]