Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Haikuwa hivyo ingawa kuna possibiliy kubwa ya kutokea scenario kama hizo. The case(s) I am reporting is/are not among those you have mentioned!
 
Twende taratibu. Kitambulisho kinachotambulika serikalini ni NIDA (barua kutoka serikali ya mtaa kama huna NIDA), Leseni ya Udereva, Hati ya Kusafiria na Kitambulisho cha kupigia kura. Hao vijana wako wameenda na nini na wameambiwa waoneshe nini??​
Wamembiwa waoneshe kadi ya Chama Pendwa, na wahakikishe ni wanachama Hai
 
Ndio mkuu. Kwa mazingira yetu ya sasa Kuna fani ukiwaambia watu wajiajiri ni ngumu mno.

Barua ya Serikali ya Mtaa utambulisho hii iweke mbele kabisa

Barua ya kiapo iwe front kabisa
Barakoa hata km hawahitaji Wewe beba kujihami
Mkebe wa kuhifadhi rula na upuuzi mwingine
Periodic table usisahau
Calculator beba

Yaan hivyo unaweza ukaona vya kipuuzi Ila wakiamua huwaambii kitu wanakutupa nje ajira watu 900 mnaenda Million unafikiri wanafanyaje kuwapunguza
 
Wanaudhi Sana Hawa watu. Wao wanajali per diem tu basi.
 
Huyo huyo aliyeruhusu wengine kufanya wakiwa hawana leseni anazuia mwingine asifanye kisa tu ana cheti kilichokuwa printed
 
Huyo huyo aliyeruhusu wengine kufanya wakiwa hawana leseni anazuia mwingine asifanye kisa tu ana cheti kilichokuwa printed
Jamaa hawana Mswalie Mtume huna rudi kwenu wanaoingia ni wenye navyo tu basi, ushaelewa?
 
Wanaudhi Sana Hawa watu. Wao wanajali per diem tu basi.
Ndio nimekupa code next time ukiitwa barua Serikali ya Mtaa utambulisho iweke mbele zaidi usisahau wengi wamechinjiwa baharini sababu hawana hio kitu
 
Eleza kwa upana, maana kunahitajija Kitambulisho cha NIDA kuonesha uraia na kisha cheti cha kuzaliwa kuonesha ulipozakiwa. Wewe umeombwa nini zaidi?
 
Vijana tuwe makini kwenye hizi saili za utumishi, wasimamizi wako moto mno yn ukikosa chochote wanachokitaka lazima wakufukuze kitu ambacho binafsi nawaunga mkono mana hua wanatangaza kabisa vitu vya kuwa navyo.
 
Eleza kwa upana, maana kunahitajija Kitambulisho cha NIDA kuonesha uraia na kisha cheti cha kuzaliwa kuonesha ulipozakiwa. Wewe umeombwa nini zaidi?
Ongeza :

Deed poll
Affidavit
RITA Certificate
Certificate of Oath
Barua utambulisho Serikali ya Mtaa na
Barakoa
 
Vijana tuwe makini kwenye hizi saili za utumishi, wasimamizi wako moto mno yn ukikosa chochote wanachokitaka lazima wakufukuze kitu ambacho binafsi nawaunga mkono mana hua wanatangaza kabisa vitu vya kuwa navyo.
Vingine unakuta list imeongezwa huko huko kwa hio lazima ujiongeze beba kila unachoweza kubeba tena beba original hawataki copy
 
Hapo cha kufanya ni kuwapeleka hao wasimamizi wa kituo cha usaili Mahakamani wao pamoja na Katibu Mkuu wizara husia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kwenda kudai kunyimwa kwa makusudi haki ya kufanyakazi pamoja na kupewa taarifa.

Wadai na madai mengineyo maana hilo kama halikuwelo awali na limeibuliwa hakuna sababu ya kutia huruma kwa kuomba omba ni suala la sheria na taratibu zifuatwe tu.

Ila kwa aina yetu ya vijana labda Kenya huko wenye uelewa wa mambo na uraia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…