- Thread starter
- #21
soma uelewa nilichokiandika! I guess utakuwa CCM!Mkuu wewe wataka kuwapangia jinsi ya kipanga interview zao, hiyo sio haki yako acha mchakato wao uendelea kwa fair game kwa kila mtu kigezo kama ni kwa kila mtu sioni ubaya hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soma uelewa nilichokiandika! I guess utakuwa CCM!Mkuu wewe wataka kuwapangia jinsi ya kipanga interview zao, hiyo sio haki yako acha mchakato wao uendelea kwa fair game kwa kila mtu kigezo kama ni kwa kila mtu sioni ubaya hapo.
Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe ( own making).
Kuna vijana wamekuja na additiona identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
It will not add any value maana wamesha fukuzwa. This is to notify the concerned authorities to take action. Wakitaka ushahidi watawapata waliotimuliwa!Sasa mkuu si uzioneshe hizo additional IDs? Ni kama zipi?
Azitaje kwaza ni zipi? Ambazo zimeongezwaKama kweli hizo additional identification badges hazikuwepo kwenye barua ya wito wa interview basi huo mchakato ni batili.
Huwezi kuongeza vigezo vyako ambavyo havipo kwenye tangazo tena unasubiri wasailiwa wafike ndio useme hivyo.
Ikumbukwe watu wametoka sehemu tofauti tofauti hivyo kumfanyia surprise ya viambatanisho vya ziada ni sawa na kumnyima haki ya fair opportunity.
Huu uzi ni takataka mpka hizo id zitakapotajwa.Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additiona identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Right time ikifika utazijua!Huu uzi ni takataka mpka hizo id zitakapotajwa.
matusi tena? twende mwendo wa matusi?Huu uzi ni takataka mpka hizo id zitakapotajwa.
Unawezaaa kuchizikaa hivii hiviii wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pambaneni zama zimebadirika no free entry
Sasa hivi udaktari ni kama procurement lazima ule interview dadeki
Miaka miwili high school , mitano chuo tena kwa mateso bila bata plus mmwaka mmoja wa intern,
Then pepa la leseni mwanzo wa intern na baada ya intern ukifeli no leseni
Ukitoboa leseni unakutana na interview [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mbaya zaidi wanaokufanyia inyerview ni wenye diplona na advanced diploma za udaktari plus watu wa human resources
Nje ya box wapi boss kwa mtu aliyesoma kwa mkopo udaktari? Afungue hospitali yake?Watanzania tumesha kua virema wa kuajiriwa, na ubongo wetu tumeufunga kabisa we cant think nje ya box.
Kwani ni lazima dakitari kujiajiri afungue hospitali? Hapana kuna madakitari wengi wako nje ya fani zao udakitari kaufanya kama addtional income.......Nje ya box wapi boss kwa mtu aliyesoma kwa mkopo udaktari? Afungue hospitali yake?
hjasoma uzi ukauelewa1 Read between lines!Hao madktari hawajawahi kwenda dodoma interview waone jinsi watu wanavyorudishwa wakikosa moja ya vigezo! Wale sio mjomba zako kwamba utalia lia usamehewe mkuu! Fuata taratibu wakikuambia fika kwa wakati fanya hivyo! Vinginevyo hata hiyo ya kutokutimiza vigezo ni moja ya usaili! Usaili unaanzia kwenye vitambulisho, vyeti, ndo maana unaitwa mchakato! Ukiona umeitwa kwenye usaili mchakato wa usaili unaanza toka ulipoitwa kwenye usaili! Vijana kuweni makini!
Nyie mnaongea mko kwenye ulaji, au wazazi wenu wako vizuri kifedhaKwani ni lazima dakitari kujiajiri afungue hospitali? Hapana kuna madakitari wengi wako nje ya fani zao udakitari kaufanya kama addtional income.......
Mkuu sio kweli ni kujitoa na kufanya hassling tu, ila watanzania wengi hupenda spoon feeding, hawataki critical thinking kupambana na umasikini.Nyie mnaongea mko kwenye ulaji, au wazazi wenu wako vizuri kifedha
Watoto wa maskinii, wanaliaa na kusaga meno. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sasa mkuu si uzioneshe hizo additional IDs? Ni kama zipi?