Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nini boss? Usome udaktari halafu ukawe mchuuzi? Tuwe tunajaribu kuelewa mazingira ya graduate wetu. Kwanini ukafanye kazi nje ya fani uliyosomea miaka 11? Kuna mazingira inaweza kutokea hivyo ila katika hali ya kawaida si sawa. Mtu kasoma udaktari, akawe daktari. Mbona mikoa na wilaya nyingi tu zinawahitaji? Kwamba tumefikia level nchi haiitaji madaktari kiasi cha kwamba ukisoma udaktari ukamaliza unaweza endesha boda kwa kukosa kazi?Kwani ni lazima dakitari kujiajiri afungue hospitali? Hapana kuna madakitari wengi wako nje ya fani zao udakitari kaufanya kama addtional income.......
Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tanga
Mkuu Tanzania ajira bado zipo nyingi za udakitari za ualimu ila uwezo wakulipwa na serikali haupo kabisa, unakuta shule ya msingi ina wanafunzi 1000 ila waalimu ni 5 tu, hospitali hazina madakitari........Wa Tanzania hatutaki kujiongeza na kujitafuta kuna dakitari moja amefungua duka hapa kwetu udakitari unaufanyia nyumbani kwake kwa wale wanao mfahamu anatoa ushauri na connection za utabibu kipato chake kiko juu sasa kupita wale walio ajiliwa, hawezi kurudi serikalani tena.Kama nini boss? Usome udaktari halafu ukawe mchuuzi? Tuwe tunajaribu kuelewa mazingira ya graduate wetu. Kwanini ukafanye kazi nje ya fani uliyosomea miaka 11? Kuna mazingira inaweza kutokea hivyo ila katika hali ya kawaida si sawa. Mtu kasoma udaktari, akawe daktari. Mbona mikoa na wilaya nyingi tu zinawahitaji? Kwamba tumefikia level nchi haiitaji madaktari kiasi cha kwamba ukisoma udaktari ukamaliza unaweza endesha boda kwa kukosa kazi?
Mfano kigezo gani kimewarudisha hakikuwepo kwenye tangazo!???Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Upo sawa ila graduate wengi pangu pakavu, wanasubiriwa wamalize waanze kusaidia wadogo na ndugu zao. Akikosa kazi unwambie fungua duka hata huo mtaji tu wa kufungulia duka hana achilia mbali eneo la kufungua hilo duka.Mkuu Tanzania ajira bado zipo nyingi za udakitari za ualimu ila uwezo wakulipwa na serikali haupo kabisa, unakuta shule ya msingi ina wanafunzi 1000 ila waalimu ni 5 tu, hospitali hazina madakitari........Wa Tanzania hatutaki kujiongeza na kujitafuta kuna dakitari moja amefungua duka hapa kwetu udakitari unaufanyia nyumbani kwake kwa wake wanao mfamu anatoa ushairi na connection za utabibu kipato chake kiko juu sasa kupita wale walio ajiriwa.
Lakini kumbuka huyu mtu anaweza kukopa au kutafuta pesa kwa marafiki na ndugu ili afunge ndoa ya 15 hado 30m ila hawezi kukopa kuanzisha biashara ndogoUpo sawa ila graduate wengi pangu pakavu, wanasubiriwa wamalize waanza kusaidia wadogo na ndugu zao. Akikosa kazi unwambie fungua duka hata huo mtaji tu wa kufungulia duka hana achilia mbali eneo la kufungua hilo duka.
Hahaha. Nani anakuchangia mtaji hii nchi? Labda uwe tapeli useme unafunga ndoa upewe ukimbie.Lakini kumbuka huyu mtu anaweza kukopa au kutafuta pesa kwa marafiki na ndugu ili afunge ndoa ya 15 hado 30m ila hawezi kukopa kuanzisha biashara ndogo
Kwa muktadha huo naweza sema vijana wako ni wazembe!!Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka
Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
Hii tume itafutwa soon kama ilivyo skuli ya sheriaNaandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Lakini hii haiondoi ukweli kua degree holder wa procurement TAMISEMI anaanza na TGS D<800,000/=,huku MD akianza na TGHS E~1,550,000/=,...........Acha vijana wapambanePambaneni zama zimebadirika no free entry
Sasa hivi udaktari ni kama procurement lazima ule interview dadeki
Miaka miwili high school , mitano chuo tena kwa mateso bila bata plus mmwaka mmoja wa intern,
Then pepa la leseni mwanzo wa intern na baada ya intern ukifeli no leseni
Ukitoboa leseni unakutana na interview 😆😆😆😆
Mbaya zaidi wanaokufanyia inyerview ni wenye diplona na advanced diploma za udaktari plus watu wa human resources
fact fact fact nafikiri ni maumivu ya kudumu kwa wale wanaotoka kwenye familia/kaya duniNyie mnaongea mko kwenye ulaji, au wazazi wenu wako vizuri kifedha
Watoto wa maskinii, wanaliaa na kusaga meno. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Kwa hiyo serikali inataka kufunika upungufu wa watumishi hao Kwa kuuaminisha umma kuwa upungufu huo ni Kwa sababu wataalamu wapi mtaani kisa wali fail interview? Nchi ngumu sana hiiMkuu Tanzania ajira bado zipo nyingi za udakitari za ualimu ila uwezo wakulipwa na serikali haupo kabisa, unakuta shule ya msingi ina wanafunzi 1000 ila waalimu ni 5 tu, hospitali hazina madakitari........Wa Tanzania hatutaki kujiongeza na kujitafuta kuna dakitari moja amefungua duka hapa kwetu udakitari unaufanyia nyumbani kwake kwa wale wanao mfahamu anatoa ushauri na connection za utabibu kipato chake kiko juu sasa kupita wale walio ajiliwa, hawezi kurudi serikalani tena.
Hiyo inaitwa utajua hujuiPambaneni zama zimebadirika no free entry