Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Mimi siyo rais mtarajiwa tena, Mimi ndiye rais niliyekalia kiti.Tumeelewana "wenzangu".
 
Hiyo ni edited speech,
watu wa NASA wame edit speech ya jamaa wakati ule akiwa kwenye kampeni
Na lengo lao ni kumuharibia na wanaweza wakamfanya chochote huyo jaji ili ionekane tu serikali imemuua na wapate huruma ya wananchi.
wanasiasa si wa kuwaamini sana.
 
pia

CITIZEN TV

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Wapo kwenye sherehe ya kuwapongeza wanajubilee walioshinda ubunge, ugavana, useneta na wale wa mashinani.

Kiujumla jamaa yupo peace sana yupo tayari kwa raundi ya pili ndani ya siku 60.

Amedai safari hii itakuwa mchana kweupe NASA wajiandae kuleta wazungu mpaka wazungu wa UN.

Amedai IEBC itaendelea kuwepo na waharakishe mchakato haraka sana. Hakutakua na kupangua safu ya IEBC.
 
Back
Top Bottom