Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ya lini mkuu??
Duh kama ni leo Jamaa yupo vizuri sana...hachukulii politics kama vitaYa Leo, mkuu.
Huenda huzijui vizuri politics za Kenya...Uhuru hajamaanisha icho ulichoelewa hapo anajaribu tu kutoa tambo za kisiasa..Hizo ni whisky Mkuu... Alishapiga mambo... Hawezi kumfanya lolote Maraga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Kweli Mkuu siyo kama huku kwetu Tz...Duh kama ni leo Jamaa yupo vizuri sana...hachukulii politics kama vita