Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Lakini amesema tena kuwa kama wasingelikuwa watunza amani angeliona cha mtema kuni na ameonesha kuchukizwa sana na maamuzi ya mahakama ya juu kabisa na amesema ina shida kubwa...
Kaendelea kusema kuwa wao kuvaa magauni wana waona wakenya wajinga.....
Kwa kauli hizi za uhuru kwakweli nimepata wasi wasi na wanao msifia,,,,,,
 
Hiyo ni edited speech,
watu wa NASA wame edit speech ya jamaa wakati ule akiwa kwenye kampeni
Na lengo lao ni kumuharibia na wanaweza wakamfanya chochote huyo jaji ili ionekane tu serikali imemuua na wapate huruma ya wananchi.
wanasiasa si wa kuwaamini sana.

Na ya leo Ruto anasema CJ Muranga has had his days and our day is comming. Alikuwa namaana gani Ruto?
 
Na ya leo Ruto anasema CJ Muranga has had his days and our day is comming. Alikuwa namaana gani Ruto?
Rafiki yangu kassema akifa shehe ni mapenzi ya Mungu.
Lakini akifa mlevi ni sababu ya pombe tafakari hayo.
 
Wa kulalamika na kupinga ataendelea kulalamika na kupinga daima.
 
Kwa nini mnasema atashinda tena ? Mimi nafikiri angekaa kimya asubiri uchaguzi Wa marudio uishe,,maana tambo zenu nyie msiopiga kura inaonyesha ataiba tena kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushindi wa sasa unaweza kuwa mkubwa kuliko uliofutwa!
Kwa kigezo gani? Unapoandika kitu chenye claim kubwa, tafadhali andika na sababu kubwa zinazokupa uwezo wa kusema hivyo.

Mimi niliposema margin inaweza kupungua, ni kwa sababu katika kutuma majibu inaonekana Uhuru aliongezewa kura, au kuna mazingira ya utatanishi kuonekana process haikuwa na integrity kwa namna ambayo ingeweza kum favor incumbent.

Wewe sababu yako ipi kusema kura zitaongezeka?
 
Demokrasia ina gharama zake hasa kwa nchi za Africa, baada ya Kenyatta kuonesha moyo wa kidemokrasia, leo ametoa yaliyoko moyoni mwake na kuwaambia mahakimu waliohusika na utenguzi wa ushindi wake kuwa baada siku sitini na akichaguliwa kuwa rais lazima awachunguze na kubadilisha mfumo uliopo, hivyo ni ansona ni kama walikula rushwa, pia amesema Again I say, the Court has made its decision and we respect it but we do not agree with it,” said Uhuru who was accompanied by Deputy President William Ruto. Pia aliendelea kusema

Those of governors were transmitted, no one asked questions. Now how do four people and wake up and say there was a technicality in the transmission of the results of the President only? How?” asked Uhuru...source KTN.
 
Nasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
 
Demokrasia ina gharama zake hasa kwa nchi za Africa, baada ya Kenyatta kuonesha moyo wa kidemokrasia, leo ametoa yaliyoko moyoni mwake na kuwaambia mahakimu waliohusika na utenguzi wa ushindi wake kuwa baada siku sitini na akichaguliwa kuwa rais lazima awachunguze na kubadilisha mfumo uliopo, hivyo ni ansona ni kama walikula rushwa, pia amesema Again I say, the Court has made its decision and we respect it but we do not agree with it,” said Uhuru who was accompanied by Deputy President William Ruto. Pia aliendelea kusema

Those of governors were transmitted, no one asked questions. Now how do four people and wake up and say there was a technicality in the transmission of the results of the President only? How?” asked Uhuru...source KTN.

Kenyatta alisha jijengea heshima sana ulimwenguni kote kwa kukubali uamuzi wa mahakama japo binafsi hakuwa amekubaliana nao! Hizi kauli zake za leo zimedhihirisha kumbe na yeye ni wale wale tu - mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo! Vitisho alivyotoa hadharani vina fedhehesha sana!
 
Back
Top Bottom