Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini amesema tena kuwa kama wasingelikuwa watunza amani angeliona cha mtema kuni na ameonesha kuchukizwa sana na maamuzi ya mahakama ya juu kabisa na amesema ina shida kubwa...Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Hiyo ni edited speech,
watu wa NASA wame edit speech ya jamaa wakati ule akiwa kwenye kampeni
Na lengo lao ni kumuharibia na wanaweza wakamfanya chochote huyo jaji ili ionekane tu serikali imemuua na wapate huruma ya wananchi.
wanasiasa si wa kuwaamini sana.
Rafiki yangu kassema akifa shehe ni mapenzi ya Mungu.Na ya leo Ruto anasema CJ Muranga has had his days and our day is comming. Alikuwa namaana gani Ruto?
Ushindi wa sasa unaweza kuwa mkubwa kuliko uliofutwa!Uhuru atashinda tena. Halafu Raila atalalamika tena.
Sent from my Kimulimuli
Kwa kigezo gani? Unapoandika kitu chenye claim kubwa, tafadhali andika na sababu kubwa zinazokupa uwezo wa kusema hivyo.Ushindi wa sasa unaweza kuwa mkubwa kuliko uliofutwa!
Demokrasia ina gharama zake hasa kwa nchi za Africa, baada ya Kenyatta kuonesha moyo wa kidemokrasia, leo ametoa yaliyoko moyoni mwake na kuwaambia mahakimu waliohusika na utenguzi wa ushindi wake kuwa baada siku sitini na akichaguliwa kuwa rais lazima awachunguze na kubadilisha mfumo uliopo, hivyo ni ansona ni kama walikula rushwa, pia amesema Again I say, the Court has made its decision and we respect it but we do not agree with it,” said Uhuru who was accompanied by Deputy President William Ruto. Pia aliendelea kusema
Those of governors were transmitted, no one asked questions. Now how do four people and wake up and say there was a technicality in the transmission of the results of the President only? How?” asked Uhuru...source KTN.