Hakika asipojiuzuru atapelekwa Ngong alafu mnasifia politics za kenya nyie wa Tz watu wa ajabu sana na huyo Ulimwengu wenu
Sasa hivi NASA wanamwaga lazi balaa huko Mathare kwenye mkutano wao wa kwanza wa hadhara baada ya hukumu ya Maraga.Wanamuita baba wa demokrasia.....kuna watu wengine ni wa ovyo sana.
safiNa ya leo Ruto anasema CJ Muranga has had his days and our day is comming. Alikuwa namaana gani Ruto?
labda Nairobi ya ManzeseBy thev way niko Nairobi na sina muda wa kupoteza na wapiga porojo madomo bwabwaja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi NASA wanamwaga lazi balaa huko Mathare kwenye mkutano wao wa kwanza wa hadhara baada ya hukumu ya Maraga.
Kama Uhuru anasema CJ Malaga mbaya kwa nini aliweka Kshs 500mln kwenye Acct yake??Mahakama ilishaamua kilichobaki ni utekelezaji tu hayo maneno maneno ni mbwembwe tu wala hayana athari zozote.
Ahh wakikuyu mshafika tanzania kitambo. Dah, ole wangu, nilitaka kukimbilia huko. Wacha nijitembeze hadi botswana ama Mozambique najua lugha mpya nyinyi hamuezi elewaWapo kwenye sherehe ya kuwapongeza wanajubilee walioshinda ubunge, ugavana, useneta na wale wa mashinani.
Kiujumla jamaa yupo peace sana yupo tayari kwa raundi ya pili ndani ya siku 60.
Amedai safari hii itakuwa mchana kweupe NASA wajiandae kuleta wazungu mpaka wazungu wa UN.
Amedai IEBC itaendelea kuwepo na waharakishe mchakato haraka sana. Hakutakua na kupangua safu ya IEBC.
Mtu anauwa watu holela na unamuita mwanademokrasia. Kweli waafrika tulilaaniwa na mungu na shetani.Personally namkubali sana Uhuru... Huyu ni kiongozi shupavu, mwana demokrasia wa kweli, Presidential material
Pashkuna,Anawaita majaji wa mahakama kuu wakora!! Come on people.
Halafu wapo watanzania wanambandika jina la baba wa demokrasia!!
Je na Raila Odinga aitwe nani? Mwanaharakati? Au nani
Mimi siyo rais mtarajiwa tena, Mimi ndiye rais niliyekalia kiti.Tumeelewana "wenzangu".
Jamani hebu tutumie hata akili robo.....speech iko edited how?, t-shirt hiyohiyo na maneno yaliyosemwa yanaambatana na tukio. sasa hebu tupe utaalaam wako!!Hiyo ni edited speech,
watu wa NASA wame edit speech ya jamaa wakati ule akiwa kwenye kampeni
Na lengo lao ni kumuharibia na wanaweza wakamfanya chochote huyo jaji ili ionekane tu serikali imemuua na wapate huruma ya wananchi.
wanasiasa si wa kuwaamini sana.