Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Siyo watanzania wote mkuu. Ni wale "vichwa penda Lowassa"
Hakika asipojiuzuru atapelekwa Ngong alafu mnasifia politics za kenya nyie wa Tz watu wa ajabu sana na huyo Ulimwengu wenu
 
Lazima uchanganyikiwe, hii issue ilikuwa ni kubwa mno hata yeye na wenzake wa Jubilee hawakutegemea kama yaweza kutokea.

Ile damu ya wakenya iliyomwagika ndiyo inafanya kazi sasa - MUNGU yupo na lazima malipo ya haki yapatikane hapa hapa duniani, ni kweli hata ungekuwa wewe lazima udate na uanze kuwatisha majaji, saikologia lazima iyumbe jambo hili ni kubwa mno.

Haya mambo ni magumu sana, ila MUNGU akishaingilia kati huwezi kuchomoka. Yeye atulie kisha angoje tuone 2nd round ya mtanange.
 
Mahakama ilishaamua kilichobaki ni utekelezaji tu hayo maneno maneno ni mbwembwe tu wala hayana athari zozote.
Kama Uhuru anasema CJ Malaga mbaya kwa nini aliweka Kshs 500mln kwenye Acct yake??
Je amfungulie kesi ya kutoa rushwa ??
 
Wapo kwenye sherehe ya kuwapongeza wanajubilee walioshinda ubunge, ugavana, useneta na wale wa mashinani.

Kiujumla jamaa yupo peace sana yupo tayari kwa raundi ya pili ndani ya siku 60.

Amedai safari hii itakuwa mchana kweupe NASA wajiandae kuleta wazungu mpaka wazungu wa UN.

Amedai IEBC itaendelea kuwepo na waharakishe mchakato haraka sana. Hakutakua na kupangua safu ya IEBC.
Ahh wakikuyu mshafika tanzania kitambo. Dah, ole wangu, nilitaka kukimbilia huko. Wacha nijitembeze hadi botswana ama Mozambique najua lugha mpya nyinyi hamuezi elewa
 
Personally namkubali sana Uhuru... Huyu ni kiongozi shupavu, mwana demokrasia wa kweli, Presidential material
Mtu anauwa watu holela na unamuita mwanademokrasia. Kweli waafrika tulilaaniwa na mungu na shetani.
 
Uhuru anaharibu heshima aliyojijengea. Likitokea lolote kwa wale majaji atakuwa hana pa kukwepea. Amesahau kuwa speech is irriversible.
 
3b2820ef8e2112abe9bebba64fd11beb.jpg
 
Vitisho vya Uhuru kwa Maraga itamharibia kwa wapiga kura, atapunguza kura kwa kiasi fulani endapo ataendelea kumwandama.

Apunguze hasira kama anajiamini ushindi ulikua wake. Kwa hali hio alihusika na mchezo wa IEBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachogomba hapo ni wajaluo wanataka kieleweke.
Jaluo katawala Marekani anashindwaje kutawala Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Tundu Lisu nani bora kati ya Pombe na Kenyata, Rais ambaye anatishia taasisi ambayo wewe ni mtaalamu halafu uko upande wake? shame on him....
 
Hiyo ni edited speech,
watu wa NASA wame edit speech ya jamaa wakati ule akiwa kwenye kampeni
Na lengo lao ni kumuharibia na wanaweza wakamfanya chochote huyo jaji ili ionekane tu serikali imemuua na wapate huruma ya wananchi.
wanasiasa si wa kuwaamini sana.
Jamani hebu tutumie hata akili robo.....speech iko edited how?, t-shirt hiyohiyo na maneno yaliyosemwa yanaambatana na tukio. sasa hebu tupe utaalaam wako!!
 
Back
Top Bottom