Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Watawala wa africa wangetamani mahakama zisiwepo ili watawale kama machief wa zama zile, utawala wa sheria kwao wanaona kama unawabana, angalia Congo, Uganda, kwetu hapa, Rwanda, sasa Kenya, Burundi ni same story. Walau kenya wamethubutu kuwa na katiba inayoeleleka ingawa still hili si dawa ya ukandamizaji wa muhilili wa mahakama.
 
Ndo hila bob huwa hazimuachi mtu salama. Yule mkurugenzi wa IBEC nani alimuua?
 
Lakini amesema tena kuwa kama wasingelikuwa watunza amani angeliona cha mtema kuni na ameonesha kuchukizwa sana na maamuzi ya mahakama ya juu kabisa na amesema ina shida kubwa...
Kaendelea kusema kuwa wao kuvaa magauni wana waona wakenya wajinga.....
Kwa kauli hizi za uhuru kwakweli nimepata wasi wasi na wanao msifia,,,,,,
Authoritative speech...ilikuwa lazima achimbe mkwara kidogo.

The Great Gatsby
 
WATU WENGINE HUMU MNAMPA UHURU MISIFA YA KIJINGA...UHURU NI CHUI ALIYEVALIA NGOZI YA KONDOO....
 
WATU WENGINE HUMU MNAMPA UHURU MISIFA YA KIJINGA...UHURU NI CHUI ALIYEVALIA NGOZI YA KONDOO....
 
Baada Jaji Mkuu Maraga na jopo la majaji wa Supreme Court kufuta matokeo ya Uchaguzi ya Raisi,Uhuru Kenyatta na William Ruto wameonyesha kupata mchecheto wa Maamuzi hayo kiasi cha kuwatishia Majaji hao Maisha jambo ambalo halikubaliki popote Duniani.Mahakama imetekeleza wajibu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom