Watawala wa africa wangetamani mahakama zisiwepo ili watawale kama machief wa zama zile, utawala wa sheria kwao wanaona kama unawabana, angalia Congo, Uganda, kwetu hapa, Rwanda, sasa Kenya, Burundi ni same story. Walau kenya wamethubutu kuwa na katiba inayoeleleka ingawa still hili si dawa ya ukandamizaji wa muhilili wa mahakama.