MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Huyo alikuwa kala viroba si bureHuyu Kenyatta alisifiwa mbona amemtishia jaji mkuu wa Kenya. Hata Trump hajawahi kutisha mtu hadharani namna hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alikuwa kala viroba si bureHuyu Kenyatta alisifiwa mbona amemtishia jaji mkuu wa Kenya. Hata Trump hajawahi kutisha mtu hadharani namna hii.
Hebu rudia. Hivi ni kweli baada ya siku 60 serikali ni ya mseto?Kule kuna kazi sana
Maana NASA wanaenda Mahakamani kutaka IEBC ifutwe
Jubilee wanataka Uchaguzi wiki 4 zijazo
Baada ya siku 60 serikali ya Mseto
Ungefuatiliaa kesi pamoja na uchaguzi mzima usinge mlaamu Uhuru , huyu CJ katoa hukumu ya ovyo kabisaLakini amesema tena kuwa kama wasingelikuwa watunza amani angeliona cha mtema kuni na ameonesha kuchukizwa sana na maamuzi ya mahakama ya juu kabisa na amesema ina shida kubwa...
Kaendelea kusema kuwa wao kuvaa magauni wana waona wakenya wajinga.....
Kwa kauli hizi za uhuru kwakweli nimepata wasi wasi na wanao msifia,,,,,,
ukomo wake ni mpka pale rais mteule au mpya tumwite anapo apishwaUhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Je unauhakina na Uhuru kuongezewa kura ?? Je aliongezewa kura ngapi ?? Mbona hawakurudia kuhesabu hizo kura ?? CJ AMECHEMSHAKwa kigezo gani? Unapoandika kitu chenye claim kubwa, tafadhali andika na sababu kubwa zinazokupa uwezo wa kusema hivyo.
Mimi niliposema margin inaweza kupungua, ni kwa sababu katika kutuma majibu inaonekana Uhuru aliongezewa kura, au kuna mazingira ya utatanishi kuonekana process haikuwa na integrity kwa namna ambayo ingeweza kum favor incumbent.
Wewe sababu yako ipi kusema kura zitaongezeka?
Unafahamu kwamba integrity ya uchaguzi ikiwa questionable materially mshindi hahitaji kuwa kaongezewa kura ili uchaguzi kuwa declared null and void?Je unauhakina na Uhuru kuongezewa kura ?? Je aliongezewa kura ngapi ?? Mbona hawakurudia kuhesabu hizo kura ?? CJ AMECHEMSHA
Sent using Jamii Forums mobile app
But between his words there is a msg! A bad one!Duh kama ni leo Jamaa yupo vizuri sana...hachukulii politics kama vita
Mkuu kuajiriwa na kamati maalum haimzuii Kenyatta kuwafukuza kazi.Anaweza ku-collude na hiyo kamati unayosema na wakafukuzwa kazi.Rais wa nchi sio mchezo mkuu,he is just too powerful.Labda Hilo la Kris msando, vinginevyo mahakimu Kenya wanaajiriwa na Kamati Maalum ya wataalam na wala siyo Matakwa ya Rais.
Hata hivyo hii inaonyesha kwamba madaraka Ya Rais yakipunguzwa mno ni hatari kwa Usalama wa Taifa.
Maana 'TUME HURU ILICHUKUA MSHIKO KWA MGOMBEA MMOJA HUKU MAHAKAMA IKICHUKUA KWA MGOMBEA ANAEFUATA!
Maiti mwenyewe boya wewe, hujui kitu afu unajifanya mjuaji, nyumbu mnakera.Pole, kamabumeanza kumfuatilia Kenyatta kipindi hicho basi nibkweli humjui.
Kenyatta sliteuliwa kumrirhi Moi kwenye uchaguzi Narc wakamsimamisha Mwai Kibaki na Uhuru akashindwa uchaguzi wa Urais na akakubali matokeo kwa amani.
Magufuli anawajuwa vizuri kama anatawala maiti. Blah blah tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda anamaanisha kwamba, hizo siku 60 akisema hakuna hela maana bajeti ya uchaguzi imetumika USD 500m huenda ikawa the same. Siku 60 zikipita ni tatizo LA kikatiba inamaana atakuwa sitting prez na majukumu kama kawa....food for thoughtUhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
😀😀😀 Hamna demokrasia hapo...ukikubali uamuzi move on sio vitisho...haileti picha nzuri walaDuh, hawa watu demokrasia yao ni very crude.
Najua Chadema hawatazungumzia hilo la Maranga kupigwa biti, ingekuwa huku Kweli makoo yangewakauka,
Yaani namhofia kiukweli...
Kabisa mkuuNajua Chadema hawatazungumzia hilo la Maranga kupigwa biti, ingekuwa huku Kweli makoo yangewakauka,