nYaNi wA KaLe
Senior Member
- Jul 12, 2017
- 159
- 65
Pengine wewe ndio huzijui vizuriHuenda huzijui vizuri politics za Kenya...Uhuru hajamaanisha icho ulichoelewa hapo anajaribu tu kutoa tambo za kisiasa..
nYaNi wA KaLe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine wewe ndio huzijui vizuriHuenda huzijui vizuri politics za Kenya...Uhuru hajamaanisha icho ulichoelewa hapo anajaribu tu kutoa tambo za kisiasa..
Zote tatu zimeeditiwa?Hiyo ni edited speech,
watu wa NASA wame edit speech ya jamaa wakati ule akiwa kwenye kampeni
Na lengo lao ni kumuharibia na wanaweza wakamfanya chochote huyo jaji ili ionekane tu serikali imemuua na wapate huruma ya wananchi.
wanasiasa si wa kuwaamini sana.
Si lazima mpiga kura kupigia wana jubilee kila anapompa kura mgombea wa urais. WAPIGA KURA WENGI WALISHAACHA KURA ZA MKUMBO.Ana majority votes katika nafasi nyingine Za magavana nk unategemea awe Na Kura chache Za Urais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie kwa hii point namsapoti Uhuruhe has a point. kama mashine zilezile zilihusika kwa ma governors, na rais, kwanini rais tu ndio aonekane kutumbuliwa na magavana waonekane walipata kihalali? hilo swali linahitaji majibu.
Mkuu wapi katoa vitisho? Kauliza swali iweje mfumo huo huo uliofanya Kura Za magavana ziwe halali Ila Za Urais tu zisiwe halali?
Kilichoamliwa Na Mahakama ni kama alivyofanya Jecha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
NDIYO, LAKINI KATIKA DEMOKRASIA INAKUBALIKA; SI ANATOA MAONI YAKE KUHUSU HUKUMU AMBAYO AMEIKUBALI SASA TATIZO NINI HAPO?
Msikilize hapa
Okey hapo nimemsikia may be kwa upande wake anaona hawajamtendea haki. Nadhani majaji wasiwe Na Shaka kama kweli Kenyatta hakuchaguliwa Na wananchi basi hatachaguliwa Ila kama alishinda kihalali itabidi wajiulize
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ballots ya kura za Urais wa Zanzibar ni moja na kura ya Urais wa Muungano?Leo ndio mmejua!? Huo uhuni wa kitoto ulitokea hapo Znz kwa kura za muungano kuwa halali lakini za Znz kuharibika.
Watanzania wengine ni sawa na maiti mnasikitisha, Kenyatta alidhadeclare peaceful end over powers akipoteza uchaguzi.
Tatizo lenu ni lugha inawasumbuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru Kenyatta hapo atakuwa ni mbumbu... Kulikuwa na hoja nne za mashtaka na zote zilihusu issue ya uchaguzi wa Rais na hakuna shitaka lilowahusu magavana. hivyo Mahakama ilitoa judgment kuhusiana na uchaguzi wa Rais tu.Issue za sheria ni ngumu kueleweka hasa kwa sisi hatukosomea hii fani na ndio maana kina Chenge, Tulia,Tundu Lissu, Kibatala etc wanajua kucheza na sheria sababu wengi wao ni wahusika wa kuzitunga.Nasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
Sometimes unaweza hisi we ndo umeelewa kumbe sivyoPengine wewe ndio huzijui vizuri
nYaNi wA KaLe
Hapa ndio naona loop hole kubwa katika katiba ya Kenya.Kenyatta was supposed to be banned from ever holding a public office.Hivi Kenyatta kama akishinda,Mungu aepushie mbali,hao majaji walio nullify uchaguzi watakuwa wageni wa nani,si atawanyongelea mbali,because his threats tells it all.
Duh,yangu macho.Ningewashauri wakimbie mapema.Yale yale ya Chris Msando.