Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais

Mkuu mahakama imefikishiwa shauri la kupinga matokeo ya kupinga matokeo ya urais na sio uchaguzi wrote ,hivyo mahakama isingeweza kutoa hukumu kwa shauri ambalo halikufunguliwa mahakamani ,kwa sababu hapakuwapo na madai wala ushahidi uliotolewa mbele ya mahakama .
That means Mahakama ipo Right,je katika Hali ya kawaida Odinga anaamini alishinda wakati huku kwa Magavana,Maseneta,nk kapigwa? Wakati mwingine wanapofungua kesi wawe wanaangalia uhalisia ulivyo.I bet Odinga atapigwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta alisha jijengea heshima sana ulimwenguni kote kwa kukubali uamuzi wa mahakama japo binafsi hakuwa amekubaliana nao! Hizi kauli zake za leo zimedhihirisha kumbe na yeye ni wale wale tu - mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo! Vitisho alivyotoa hadharani vina fedhehesha sana!

Achia mbali kuwanyonga, swali kubwa zaidi ni je yuko tayari kuachia kiti akishindwa? hapo ni sahau halitatokea kwa uhuru watapigana hadi kesho asubuhi, kama mahakama tu imetupilia mbali uchaguzi ambao aliiba lakini katoa vitisho vikali kwa mahakimu wasitegemee hata siku moja atasema kweli upinzani kiti ni hiki hapa. Watu huwa hawamjui uhuru, anavyowachekea kwenye tv ni tofauti kabisa, hata IEBC ilikuwa kwenye pressure kubwa sana hadi kutangaza yale matokeo, nchi ya Kenya ni ya Kenyatta family penda usipende, demokrasia ni kuzuga zuga tu.
 
Hakuna sehemu Kenyatta ametisha majaji sanasana amewaheshimu sana majaji wanne kutenguwa maamuzi ya mamilioni ya wapiga kura.

Humu JF kuna Wakenya kama lugha inakugomba sikiliza idhaa za kiswahili badala ya kututia aibu humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie najaribu kurudia ile video mara mbili lakini sioni kitisho Sasa hivyo vitisho jamaa wanavyoongea ni vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achia mbali kuwanyonga, swali kubwa zaidi ni je yuko tayari kuachia kiti akishindwa? hapo ni sahau halitatokea kwa uhuru watapigana hadi kesho asubuhi, kama mahakama tu imetupilia mbali uchaguzi ambao aliiba lakini katoa vitisho vikali kwa mahakimu wasitegemee hata siku moja atasema kweli upinzani kiti ni hiki hapa. Watu huwa hawamjui uhuru, anavyowachekea kwenye tv ni tofauti kabisa, hata IEBC ilikuwa kwenye pressure kubwa sana hadi kutangaza yale matokeo, nchi ya Kenya ni ya Kenyatta family penda usipende, demokrasia ni kuzuga zuga tu.
Watanzania wengine ni sawa na maiti mnasikitisha, Kenyatta alidhadeclare peaceful end over powers akipoteza uchaguzi.

Tatizo lenu ni lugha inawasumbuwa.

Wew humjui uhuru, uhuru wengine tumeanza kumfuatilia toka katiba Kenya ikiwa inaandikwa, toka matatizo yaliyowapata Enzi za mwai kibaki hadi Kofi anan na mkapa wakaenda kusuluhisha, uhuru kutoa vitisho ni kawaida yake hili la sasa ni kawaida, uhuru aliwahi toa vitisho haid mkapa na kofi anan akaenda Kenya kuwatuliza kipindi kile wanasuluhishwa fuatilia clips zile youtube, uhuru amekuja kutulia baada ya kupata matatizo ya ICC ,ndo maana mimi likija suala la uchafuzi Kenya huwa natulia kama sijui vile.
 
Kwa hiyo huyo aliyewatishia majaji ni Uhuru Kenyatta mwingine? Inawezekana hujafuatilia kwa karibu kinachoendelea sasa hivi Kenya au umechagua cha kuamini. Ni hivi, muda mchache baada ya kutoa maneno 'mazuri' alianza kampeni na kuwaita majaji 'chokoraa'. Leo kaendeleza mashambulizi na imebidi Jumuiya ya majaji Kenya itoe statement maana wanahofia hatma ya majaji wenzao.
 
Mahakama ilishaamua kilichobaki ni utekelezaji tu hayo maneno maneno ni mbwembwe tu wala hayana athari zozote.

Subili baada ya uchaguzi ndio utajua kama anayoongea ni mbwembwe tu au la.
 
NDIYO, LAKINI KATIKA DEMOKRASIA INAKUBALIKA; SI ANATOA MAONI YAKE KUHUSU HUKUMU AMBAYO AMEIKUBALI SASA TATIZO NINI HAPO?
Hajaikubali hiyo hukumu. Amesema wazi kuwa ana 'disagree' na hiyo hukumu ya watu sita ila kwa heshima tu ya mahakama na kutosababisha uvunjifu wa amani yuko tayari kurudi kupiga debe kwa mara ya pili kwa uchaguzi wa marudio. Kwa wenye akili wamemuelewa vizuri sana kwamba hataki tena mambo ya kupelekwa kwenye ile international court.
 
Eti wanasema Baba Wa Demokrasia. [emoji23][emoji16]Shame on You Chadema.

Uhuru amekubali kwa shinikizo flani ila anakinyongo na amehapa kubadili mfumo wa mahakama kuu kuhusu Mambo ya Uchaguzi. Na akiwa rais atabadili hili.

"Haiwezekani watu 6 wabadili maamuzi ya Watu million 45".

Sent by Samson Cyper
 
Kwa hiyo huyo aliyewatishia majaji ni Uhuru Kenyatta mwingine? Inawezekana hujafuatilia kwa karibu kinachoendelea sasa hivi Kenya au umechagua cha kuamini. Ni hivi, muda mchache baada ya kutoa maneno 'mazuri' alianza kampeni na kuwaita majaji 'chokoraa'. Leo kaendeleza mashambulizi na imebidi Jumuiya ya majaji Kenya itoe statement maana wanahofia hatma ya majaji wenzao.
By thev way niko Nairobi na sina muda wa kupoteza na wapiga porojo.

By thev way niko Nairobi na sina muda wa kupoteza na wapiga porojo madomo bwabwaja.

Mahakama inasemaje kwa tume iliyoleta yote hayo? Damu ya yule mzew wa ICT itawatafuna na kiganja chake kitawa slap sana
 
Wew humjui uhuru, uhuru wengine tumeanza kumfuatilia toka katiba Kenya ikiwa inaandikwa, toka matatizo yaliyowapata Enzi za mwai kibaki hadi Kofi anan na mkapa wakaenda kusuluhisha, uhuru kutoa vitisho ni kawaida yake hili la sasa ni kawaida, uhuru aliwahi toa vitisho haid mkapa na kofi anan akaenda Kenya kuwatuliza kipindi kile wanasuluhishwa fuatilia clips zile youtube, uhuru amekuja kutulia baada ya kupata matatizo ya ICC ,ndo maana mimi likija suala la uchafuzi Kenya huwa natulia kama sijui vile.
Pole, kamabumeanza kumfuatilia Kenyatta kipindi hicho basi nibkweli humjui.

Kenyatta sliteuliwa kumrirhi Moi kwenye uchaguzi Narc wakamsimamisha Mwai Kibaki na Uhuru akashindwa uchaguzi wa Urais na akakubali matokeo kwa amani.

Magufuli anawajuwa vizuri kama anatawala maiti. Blah blah tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom