K Kosugi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 16,166 Reaction score 25,197 May 3, 2022 #41 Muuza Kangala said: Sikiliza jembe hili linafunguka.Haina kusubiri mpaka July 1. π View attachment 2207436 Click to expand... Mnashabikia kuongezeka mishahara tena 12%. Mnasahau kuwa Uhuru ameshindwa kuadress mambo muhimu km njaa Turkana na Marsabit halafu mnamsifia eti kiongozi Bora EA watanzania alowaroga amekufa.
Muuza Kangala said: Sikiliza jembe hili linafunguka.Haina kusubiri mpaka July 1. π View attachment 2207436 Click to expand... Mnashabikia kuongezeka mishahara tena 12%. Mnasahau kuwa Uhuru ameshindwa kuadress mambo muhimu km njaa Turkana na Marsabit halafu mnamsifia eti kiongozi Bora EA watanzania alowaroga amekufa.
Oii JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 3,930 Reaction score 3,128 May 3, 2022 #42 Muuza Kangala said: Mbona hapa bongo 2020 hamkuongezwa mshahara. Click to expand... 2020 kulikuwa na kidume chuma. Alikuwa anasema live. Mwaka huu siwaongezi mishahara.
Muuza Kangala said: Mbona hapa bongo 2020 hamkuongezwa mshahara. Click to expand... 2020 kulikuwa na kidume chuma. Alikuwa anasema live. Mwaka huu siwaongezi mishahara.
tuusan JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 17,972 Reaction score 20,221 May 3, 2022 #43 Oii said: 2020 kulikuwa na kidume chuma. Alikuwa anasema live. Mwaka huu siwaongezi mishahara. Click to expand... We chenga tu sio ajabu Huna ajira unaongea mambo yasiokuhusu
Oii said: 2020 kulikuwa na kidume chuma. Alikuwa anasema live. Mwaka huu siwaongezi mishahara. Click to expand... We chenga tu sio ajabu Huna ajira unaongea mambo yasiokuhusu