Mnashabikia kuongezeka mishahara tena 12%.
Mnasahau kuwa Uhuru ameshindwa kuadress mambo muhimu km njaa Turkana na Marsabit halafu mnamsifia eti kiongozi Bora EA watanzania alowaroga amekufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnashabikia kuongezeka mishahara tena 12%.
2020 kulikuwa na kidume chuma. Alikuwa anasema live. Mwaka huu siwaongezi mishahara.Mbona hapa bongo 2020 hamkuongezwa mshahara.
We chenga tu sio ajabu Huna ajira unaongea mambo yasiokuhusu2020 kulikuwa na kidume chuma. Alikuwa anasema live. Mwaka huu siwaongezi mishahara.