Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Ahahahahha we kweli mjaruo kwa kuongeza maden kupitiliza ndio rais bora kwa kuwa na stagnant economy ndio rais bora hv unajua mwaka jana ht nchi chovu Rwanda iliwashinda ilisukuma uchumi wake kwa 7% wewe 6.3% then unasema una stable economy tumia akili ww
Hakuna raisi bora kama Raisi Uhuru Kenyatta katika Afrika ya Mashariki.
 
Huyo mwache ajipe hopes km anaweza ipiga tz.Tz has alot of secrets concerning weapons but utapowachokoza utaona cha mtema kuni.when i was just yunk ktk alaiki national stadium nilikaa nashangaa zaja fighter jets hujui wapi zimesalia.tz ni badass
Trust me we are not over estimate ourselves... We are real good Anko trust me we are daaamnn good ea hamna nchi inaweza simama na tz kwenye vita amini hilo...
 
Hizo list wanaekaga tuu ht marekan kaekwa wa kwanza kijeshi lakn hamwez Israel kijeshi
1.Egypt
2.Algeria
3.South Africa
4.Nigeria
5.Ethiopia
6.Morocco
7.Tunisia
8.Kenya
9.Sudan
10.Angola

Jadili na facts,najua wewe mzalendo unaipenda nchi yako lakini ukweli ubaki kuwa ukweli! Punguza ushabiki.
 
Hizo list tuu ata Trump wamemweka first greatest military lakn hadi leo Iran inamhenyesha anarusha ndege zinashushwa anarusha makombora anageuziwa mwenyewe.
Rongorongo tu mkuu, umekamatwa pabaya ehh? Hahaaa ata kwenye top 10 umeona hampo?
 
Jeshi linakuaga secretive km lilivyo Israel ambayo mmarekani wako hagusi mkuu japokuwa wamempendelea kumweka wa kwanza akat ht North Korea haiwez.na km ilivyo tz hatutambi kwa list tunatamba kwa uwezo ukishoboka tunakuweka muulize bibi yako mama kaunda alitaka kuleta poyoyo kuhusu nyasa wakamwoneshea vifaa tu JWTZ alifyata makalio.
Rongorongo tu mkuu, umekamatwa pabaya ehh? Hahaaa ata kwenye top 10 umeona hampo?
 
Kumbe USA anapigwa na Israel ?
 
Washangaa hee kwan technology ya silaha America inaloweya wapi si Israel na Japan hulijui hilo.Israel ana bomb alilipiga ghazar mpk sasa ardhi yake upande wa kaskazin imeharibika madaktar wa who walifanya uchunguz wakasema hapafai ishi mtu hat pafanywe nn wakataka kutoa msaada km UN Netanyahu akawapiga mkwara olewake atakaewasaidia ghazar na mbona had Trump alifyata makalio wale sio viumbe mashetan.We trump rais kim wa korea kaskazin anamtoa jasho atawezana na Netanyahu
Kumbe USA anapigwa na Israel ?
 
Duh kumbe Israel ni hatari hivyo ?

Bt let metell you Israel ni Jimbo la USA Israel yupo pale middle East kimkakati hasa kutimiza malengo ya USA so Israel sio kitu mbele ya USA

Na endapo itatokea USA akaiacha Israel basi watomaliza mwaka wakiwa pale middle East
 
Endapo itatokea vita kati ya KDF na JW basi JW watashinda kiwepesi saana kwa ukanda huu nchi ambayo inaweza kusumbuana saana kijeshi na Tz ni Uganda peke yake

Pia Uganda anao uwezo wa kuwatwanga vizuri tu KDF,burundi,Rwanda na drc kwa pamoja
 
Mbona hiyo sijawahi iona akat wale mayahudi walikua wakijiendesha wenyewe toka backward hiyo kuwa jimbo imetokea wapi ile ni free state wid its sovereignty toka nyuma japokuwa nchi yenyewe wanaijenga kwa kuunga unga
 
Hilo la kweli sio urongo ni kweli kabisa.

Kwa mdomo waswazi hamjambo 😂 lakini vita kati ya Ke na Tz haitowahi. Sisi watani wa jadi! Biashara, ndoa twafanya tu kwa pamoja! Nothing personal.
 
Middle East pale mwenye nguvu za kijeshi ni Iran na Egypt lkn USA kwa upendo na kumrinda Israel unaona USA kila mwaka anawalipa Egypt pesa ili wasiwe na ugomvi na Israel hiyo tu inatosha kuonesha Israel sio kitu mbele ya USA
Mbona hiyo sijawahi iona akat wale mayahudi walikua wakijiendesha wenyewe toka backward hiyo kuwa jimbo imetokea wapi ile ni free state wid its sovereignty toka nyuma japokuwa nchi yenyewe wanaijenga kwa kuunga unga
 
Sure madhara ya kiuchumi ya vita kati ya KDF na JW yatakuwa ni makubwa mno lkn itakuwa ni vita rahisi saana
Kwa mdomo waswazi hamjambo [emoji23] lakini vita kati ya Ke na Tz haitowahi. Sisi watani wa jadi! Biashara, ndoa twafanya tu kwa pamoja! Nothing personal.
 
Sikiliza mziki huoo, yaani ni hatari fire. Katika jeshi bora Subsahara Afrika, ni South Africa, Tanzania na Ethiopia.
TZ ? bora kutokana na nini, labda kwa mdomo tu.. i keep repeating , can you give facts.
Military strength is based on several key things...
1.Technical advancement of a nation
2.Financial and economic capability to support a war
3.Military assets divided into
Defense components
Assault components
Logistics
4.Relevant experience in military operations

Tell me where you beat Kenya that would tilt the scales to your side.
 
Mwafrika akiwa mjinga anakuwa mjinga kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…