joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Vyote ulivyotaja tupo vizuri sana, kitu pekee cha kuweza kujua ubora na uimara wa jeshi ni idadi ya vita ilivyopigana na kushinda, JWTZ limepigana maeneo mengi, na yote limeshinda na kukamilisha kazi waliyotumwa.TZ ? bora kutokana na nini, labda kwa mdomo tu.. i keep repeating , can you give facts.
Military strength is based on several key things...
1.Technical advancement of a nation
2.Financial and economic capability to support a war
3.Military assets divided into
Defense components
Assault components
Logistics
4.Relevant experience in military operations
Tell me where you beat Kenya that would tilt the scales to your side.
Vita havipiganwi kwa mdomo kaka, TZ ni kazi nyepesi ... From 2003 we have been outspending TZ, UG , Rwanda ,Burundi , Ethiopia in military spending - weapons and training. In a week Magufuli will be swimming across Lake Tanganyika.Endapo itatokea vita kati ya KDF na JW basi JW watashinda kiwepesi saana kwa ukanda huu nchi ambayo inaweza kusumbuana saana kijeshi na Tz ni Uganda peke yake
Pia Uganda anao uwezo wa kuwatwanga vizuri tu KDF,burundi,Rwanda na drc kwa pamoja
TZ ? bora kutokana na nini, labda kwa mdomo tu.. i keep repeating , can you give facts.
Military strength is based on several key things...
1.Technical advancement of a nation
2.Financial and economic capability to support a war
3.Military assets divided into
Defense components
Assault components
Logistics
4.Relevant experience in military operations
Tell me where you beat Kenya that would tilt the scales to your side.
ha ha ha vita TZ imepigana tu ni Uganda war , na niliiwambia Amin alikuwa amesambaratisha Uganda kwa hivyo jeshi lake lilikuwa dhaifu sana, isitoshe Waganda walikuwa hawamtaki na wengi wao waliunga mkono TZ.Vyote ulivyotaja tupo vizuri sana, kitu pekee cha kuweza kujua ubora na uimara wa jeshi ni idadi ya vita ilivyopigana na kushinda, JWTZ limepigana maeneo mengi, na yote limeshinda na kukamilisha kazi waliyotumwa.
Huyo mganda mwenyewe atasumbua kidogo afu atapga magotiEndapo itatokea vita kati ya KDF na JW basi JW watashinda kiwepesi saana kwa ukanda huu nchi ambayo inaweza kusumbuana saana kijeshi na Tz ni Uganda peke yake
Pia Uganda anao uwezo wa kuwatwanga vizuri tu KDF,burundi,Rwanda na drc kwa pamoja
Vita havipiganwi kwa mdomo kaka, TZ ni kazi nyepesi ... From 2003 we have been outspending TZ, UG , Rwanda ,Burundi , Ethiopia in military spending - weapons and training. In a week Magufuli will be swimming across Lake Tanganyika.
ukitaka naleta facts.shida ni kwamba hata jeshi lenu tunajua silaha mlizo nazo.
Kwenye Eastern Africa ,Uganda Air force tu ndiyo wanashtua kidogo juu ya SU-30 walizo nazo 6, lakini tunajua kwamba Training na experience ya kuzitumia hawana. Kama kuruka na helicopter 3 kupitia Kenya kwenda Somalia kuliwashinda sembuse wakati wa vita...
JW wameshinda sehemu zote walizopigana hiyo ni sifa kuu ya jeshi imaraVita havipiganwi kwa mdomo kaka, TZ ni kazi nyepesi ... From 2003 we have been outspending TZ, UG , Rwanda ,Burundi , Ethiopia in military spending - weapons and training. In a week Magufuli will be swimming across Lake Tanganyika.
ukitaka naleta facts.shida ni kwamba hata jeshi lenu tunajua silaha mlizo nazo.
Kwenye Eastern Africa ,Uganda Air force tu ndiyo wanashtua kidogo juu ya SU-30 walizo nazo 6, lakini tunajua kwamba Training na experience ya kuzitumia hawana. Kama kuruka na helicopter 3 kupitia Kenya kwenda Somalia kuliwashinda sembuse wakati wa vita...
Vyote ulivyotaja tupo vizuri sana, kitu pekee cha kuweza kujua ubora na uimara wa jeshi ni idadi ya vita ilivyopigana na kushinda, JWTZ limepigana maeneo mengi, na yote limeshinda na kukamilisha kazi waliyotumwa.
Hizo fact za kwenye makaratasi hazi apply kwenye vita...TZ ? bora kutokana na nini, labda kwa mdomo tu.. i keep repeating , can you give facts.
Military strength is based on several key things...
1.Technical advancement of a nation
2.Financial and economic capability to support a war
3.Military assets divided into
Defense components
Assault components
Logistics
4.Relevant experience in military operations
Tell me where you beat Kenya that would tilt the scales to your side.
Wacha kelele, bring facts, unapayuka payuka mambo ya IRAN, si uongee kuhusu uwezo wa TZ.Usipige kelele wewe hzoo list tuu zisikudanganye kenya mnapiga kelele km America anavyompigia korea kaskazin halaf hana ubavu wowote.jeshi lenye nguvu huwez lijua liko secretive mfano ww si unajua America ndio mbabe kuliko wote lakn mbona hafui dafu kwa kiduku wa korea na iran.iran ukiiangalia wameiweka ya 13 ktk list ya majeshi makubwa America ya kwanza lakn chaajabu America alimshindwa muiran licha ya kusaidiwa na Iraq ya Saddam kwa miaka nane.ndio sawa na nyie kenya ile mall yenu ya kenya ilovamiwa na alshabaab watatu sijui wale mbona mlishindwa igomboa
Middle East pale mwenye nguvu za kijeshi ni Iran na Egypt lkn USA kwa upendo na kumrinda Israel unaona USA kila mwaka anawalipa Egypt pesa ili wasiwe na ugomvi na Israel hiyo tu inatosha kuonesha Israel sio kitu mbele ya USA
Kwa hivyo kama hamuwezi afford mig29 saa hizi, mtanunua wakati wa vita?? mtafanya training wakati mgani ???JW wameshinda sehemu zote walizopigana hiyo ni sifa kuu ya jeshi imara
Pia JW wanauzoefu wa vita sababu wamepigana sehemu nyingi
Wapi Kenya imeshinda vita?
Jet fighter za Uganda ni Tz hazina utofauti pia JW wana ofa ya mig-29 ambazo wamegoma kuzichukua kwa sababu ya gharama kubwa za kuzitunza aliyakuwa nchi haina tishio lolote
Kubwa zaidi hakuna mtu aliyejua kuwa Tz kuna MLRS-100 mpaka zilipooneshwa uwanjani
Hivi wewe sema KDF mpo na silaha gani kushinda JWTZ. Angani na baharini kote huko JWTZ limetawala. Tuanze kuhorodhesha na kuonyesha silaha za "Air & Marine kama hutokimbia.Wacha kelele, bring facts, unapayuka payuka mambo ya IRAN, si uongee kuhusu uwezo wa TZ.
Hakuna siri yeyote TZ waliyo nayo... ununuzi na uuzaji wa silaha duniani hauwezi kufichika..labda kama mnatengeza silaha zenu ndio mnaweza kuficha..
Hata mkinunua bunduki 1000, hiyo info inajulikana na dunia yote.
Hizo fact za kwenye makaratasi hazi apply kwenye vita...
Kwenye vita anaeshinda ndio mbabe so mkitaka wakenya mjua mtashinda au vipi jaribuni tuu kubeep
Wacha kelele, bring facts, unapayuka payuka mambo ya IRAN, si uongee kuhusu uwezo wa TZ.
Hakuna siri yeyote TZ waliyo nayo... ununuzi na uuzaji wa silaha duniani hauwezi kufichika..labda kama mnatengeza silaha zenu ndio mnaweza kuficha..
Hata mkinunua bunduki 1000, hiyo info inajulikana na dunia yote.
Kwa hivyo kama hamuwezi afford mig29 saa hizi, mtanunua wakati wa vita?? mtafanya training wakati mgani ???
TZ military wise ni ovyo sana, mnafikiria kwamba kujigamba ndio ubabe, bure kabisa...
Vita vya siku mbili unahesabu kuwa experience,??? hizo ni "military operations tu".

Hivi wewe sema KDF mpo na silaha gani kushinda JWTZ. Angani na baharini kote huko JWTZ limetawala. Tuanze kuhorodhesha na kuonyesha silaha za "Air & Marine kama hutokimbia.
Angani gani???Hivi wewe sema KDF mpo na silaha gani kushinda JWTZ. Angani na baharini kote huko JWTZ limetawala. Tuanze kuhorodhesha na kuonyesha silaha za "Air & Marine kama hutokimbia.