Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Some of you are supporting Somali's claims of drawing the border diagonally as according to the land border, but forget that will open a can of warms along the African coast.. but that part of the effect on the TZ/KE border you don't want to hear...How?
You are always online 24/7 na zile vitu unaongea hazimake sense.Sisi ni nchi yenye watu makini wenye kufuata sheria, sio kana ninyi kila mara kulalamika na kujifanya wakati wote ninyi ni "victims", tabia hiyo ndiyo inayosababisha Kenya na Tanzania hatuelewani, jaribuni kuwa humble Tony254, hivi hamjishangai mlivyo?, ninyi ni watu wa kulalamika muda wote kwamba dunia nzima haiwapendi.
Kama MAHAKAMA itaamua kuchukua bahari ya Tanzania iwe yenu, hutosikia Tanzania ikilalamika, kwasababu tutajua hiyo ni sehemu ya Kenya. Badilikeni Tafadhali, kweli mnakera sana, yaani majirani zenu wote tumewachoka Sana.
Migingo is a political issue, and by the way , the fishermen there are Kenyans..it's true things have dragged along on official demarcation but UG is not an enemy state , they are one of our biggest trade partners. you don't kill mosquito size issues with a hammer..The dispute is ke v somalia
If kenya feels like involving Tz, they are free to do so at their own risk..
Shame take migingo back first
Sisi kama Watanzania tunawaunga mkono ndugu zetu Wakenya dhidi ya ubabe wa Maharamia na Alshababu
Great minds and great countries are not bound by laws .Us is not a signtory of the ICJ ,China is still expanding it's bases in southchina sea, Russia annexed cremia in 2014 , Israel has occupied all most all of what was formerly Palestine and Kenya already made it's decision on the matter and we aren't negotiating with anyone .Sisi ni nchi yenye watu makini wenye kufuata sheria, sio kana ninyi kila mara kulalamika na kujifanya wakati wote ninyi ni "victims", tabia hiyo ndiyo inayosababisha Kenya na Tanzania hatuelewani, jaribuni kuwa humble Tony254, hivi hamjishangai mlivyo?, ninyi ni watu wa kulalamika muda wote kwamba dunia nzima haiwapendi.
Kama MAHAKAMA itaamua kuchukua bahari ya Tanzania iwe yenu, hutosikia Tanzania ikilalamika, kwasababu tutajua hiyo ni sehemu ya Kenya. Badilikeni Tafadhali, kweli mnakera sana, yaani majirani zenu wote tumewachoka Sana.
Kwaiyo kafanya jambo la KISHUJAA eti ?jibu hoja basi....
mtoto wa uhuru kaoa mjaluo...bwahahaaa....
Actually some political figures in Tz are secretly supporting somalia on the issue so that Kenyas maritime traffic is lost to tanzanian ports .This is since vessels bound to Kenya will have to pass through Somali waters that are deemed unsafe due to piracy...lakini we all know they are day dreaming.The dispute is ke v somalia
If kenya feels like involving Tz, they are free to do so at their own risk..
Shame take migingo back first
Nakuhakikishia kwamba simba aliyenyeshewa bado ni simba, usimdunge jicho kwa kidole, hutaishi kuelezea kilichotendeka. Mmezoea kuona kanchi kapole kanaitwa Kenya kila mtu anakadharau lakini kila mtu ana mwisho wa uvumilivu wake. Potelea pote. Wacha sasa tuwe wanyama na kudeal na hawa takataka Somalia bila huruma. Hamna haja ya upole wakati unayejaribu kumsaidia ni kichwa ngumu kushinda mawe. Kabla hatujateremsha kichapo Somalia tuanze na Tanzania kwa sababu wana midomo kubwa kama kasuku.
Not an Inch more Not an Inch less!! Wasomali wamezoea kuzulumu.
Hahahahaha, you want each country to flex its muscles against its neighbours the way China does to Taiwan?, you want that to happen here in east Africa?, am sure Kenya will be the first country to complain as usual.Great minds and great countries are not bound by laws .Us is not a signtory of the ICJ ,China is still expanding it's bases in southchina sea, Russia annexed cremia in 2014 , Israel has occupied all most all of what was formerly Palestine and Kenya already made it's decision on the matter and we aren't negotiating with anyone .
Tupia na mapicha picha sasa ili kunogeshaJenga hoja acha kulialia
Why al shabab inazulumu roho za wakenyaMaharamia wamezulumu sana,Alshababu nao huwa wanazulumu Roho za Wakenya.
Kagame kuku km kuku wengine tuuNna assume hicho kisiwa kingekua na mvutano kati ya Uganda na Rwanda tuone kama M7 angeweza kumnyanganya Kagame hahah
Kagame kuku km kuku wengine tuu