Uhuru Kenyatta aonesha ustaarabu wa hali ya juu

Tofauti kati ya msomi Na aliepitia madarasa;!
Kweli kabisa sasa kama Makonda anasema watu wasiofanya mazoezi na wakapata magonjwa kama kisukari walipishwe mara mbili ya bei ya matibabu. Kwa nini asianze mazoezi yeye mwenyewe kwanza.
 


Huku ndio kukomaa kisiasa na kiakili.., sijui ingekuaje kwa yule mpangaji karibu na magogoni a.k.a hydrocloric acid.
 
Kwa hiyo nini maoni kuhusu matusi dhidi ya binadamu wengine? Au hiyo ndiyo demokrasia kwako? Je vp anayetukanwa yeye hana haki ya kidemokrasia?
Sijaelewa umeandika nini au kama nimeelewa basi sijaelewa unacho advocate au kama unampinga au unampongeza Uhuru.
 
Kukiwa na ulazima itabidi iwe hivyo ili mjue tofauti ya Demokrasia na uvunjifu wa sheria kiholela.
 
Eti gentalmen, mwenzenu Kenyatta anacheza mchezo wa kisiasa by "not rocking the boat", nyinyi mnasema gentlemen. Mm
 
Eti gentalmen, mwenzenu Kenyatta anacheza mchezo wa kisiasa by "not rocking the boat", nyinyi mnasema gentlemen. Mm
ndivyo inavyotakiwa ,yeye ndiye mshindi sasa sio ku react kibabebabe kama kifaru,michele obama anakwambia when they go low we go high,yeye na mumewe wametukanwa sana mara wanaitwa ma gorilla lakini haiwaondolei focus sasa kuna reaction za watu fulani mpaka unashangaa aiseeee
 
Angekuwa Mr pogba wallah angetuma wahuni wampige wamuweke kwenye sandarusi wamtupe kwenye mto .
 
Ingekuwa kwetu huyu bi dada angepotea katika mazingira ya kutatanisha kisha asionekane tena. Mtu angeniambia Tanzania yetu itafikia hali kama hii tunayoiona sasa hivi ningebisha vibaya sana lakini ningekuwa nimekosea sana katika ubishi wangu. Nchi yetu kwa sasa inatisha sana ni hofu nzito inazidi kutanda kila kona ya nchi yetu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…