Uhuru Kenyatta aonesha ustaarabu wa hali ya juu

Tofauti kati ya msomi Na aliepitia madarasa;!
Kweli kabisa sasa kama Makonda anasema watu wasiofanya mazoezi na wakapata magonjwa kama kisukari walipishwe mara mbili ya bei ya matibabu. Kwa nini asianze mazoezi yeye mwenyewe kwanza.
 
Hakyamungu ingekuwa hapa sasa hivi yule mbunge angekuwa sijui ana hali gani maskini ya Mungu na nyumba yake ingesachiwa yote hadi vikombe
Baada ya kutukanwa juzi bungeni na yule mbunge ambaye hawezi kushtakiwa kwa kuwa aliongelea bungeni(kwa wenzetu kenya bunge linaheshimiwa ina maana hata askari hawawezi ingia kuwapiga tanganyika jeki wabunge)Rais kenyata kamtumia kadi ya krismasi aliyosaini yeye na mkewe magreth.
Hatua imemuongezea point sana Kenyata na kuwadharaulisha Cord na huyo mwana mama
Inanikumbusha jinsi Kikwete alivyowapuuza wale jamaa wa msikiti fulani pale city centre waliomsomea albadir ili afe,aliongea lakini wala hakuwatumia jeshi la polisi wakamatwe.

President Kenyatta responds to Millie’s insults with a Xmas Card
Yesterday 5:42 pm

There has been no reaction from President Kenyatta himself or State House over Millie’s remarks.
NAIROBI, Kenya Dec 21 – President Uhuru Kenyatta has sent a Christmas Card to Mbita MP Millie Odhiambo even a day after she insulted him publicly within Parliament buildings.

The card seen by Capital News beat is also wishing Millie a Happy New Year, coming just a day after she hurled insults at the Head of State.

Remarks by the Opposition MP have drawn sharp reactions from a section of Kenyans and leaders–including MP Moses Kuria who posted scathing comments against the law maker.

Huku ndio kukomaa kisiasa na kiakili.., sijui ingekuaje kwa yule mpangaji karibu na magogoni a.k.a hydrocloric acid.
 
Kwa hiyo nini maoni kuhusu matusi dhidi ya binadamu wengine? Au hiyo ndiyo demokrasia kwako? Je vp anayetukanwa yeye hana haki ya kidemokrasia?
Sijaelewa umeandika nini au kama nimeelewa basi sijaelewa unacho advocate au kama unampinga au unampongeza Uhuru.
 
Mkifikia hatua ya kulinganisha Tanzania na KSA kwenye mambo ya demokrasia basi ujue hali ni mbaya.

Kama mnaona KSA ndiyo wa kujilinganisha nao anzeni kukata vichwa wauza unga, kateni miguu wezi na wanawake wapigwe marufuku kuendesha magari. Pia msisaha wanawake wanapotoka nje wawe na ndugu zao wa damu. Poor Wadanganyika
Kukiwa na ulazima itabidi iwe hivyo ili mjue tofauti ya Demokrasia na uvunjifu wa sheria kiholela.
 
Eti gentalmen, mwenzenu Kenyatta anacheza mchezo wa kisiasa by "not rocking the boat", nyinyi mnasema gentlemen. Mm
 
ndivyo inavyotakiwa ,yeye ndiye mshindi sasa sio ku react kibabebabe kama kifaru,michele obama anakwambia when they go low we go high,yeye na mumewe wametukanwa sana mara wanaitwa ma gorilla lakini haiwaondolei focus sasa kuna reaction za watu fulani mpaka unashangaa aiseeee
 
Angekuwa Mr pogba wallah angetuma wahuni wampige wamuweke kwenye sandarusi wamtupe kwenye mto .
 
Ingekuwa kwetu huyu bi dada angepotea katika mazingira ya kutatanisha kisha asionekane tena. Mtu angeniambia Tanzania yetu itafikia hali kama hii tunayoiona sasa hivi ningebisha vibaya sana lakini ningekuwa nimekosea sana katika ubishi wangu. Nchi yetu kwa sasa inatisha sana ni hofu nzito inazidi kutanda kila kona ya nchi yetu.

Back
Top Bottom