mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 988
Kweli wewe Uso was nyoka una visasi utadhani gaidiNdiyo maana yake. Yeye mama kaamua kulipuka Uhuru akaona aplay cool kama vile hajachukulia kwa umakini hilo swala, lakini ni vigumu kujua anachopanga. Huwezi kumdhalilisha mtu mzima hadharani ukabakia hivihivi.
Gadafi naye alikuwa na imani kama yako ila siku zake zilipofika aliiacha Libya kwa Walibya. Muda ndiye adui mkubwa wa mwanadamuKukiwa na ulazima itabidi iwe hivyo ili mjue tofauti ya Demokrasia na uvunjifu wa sheria kiholela.
Hahaaha kila siku yanaibuka majina mapya aisee [emoji23]Naona huyu mkulu wa lile taifa kusini mwa taifa langu amebandikwa majina mengi, si mchezo!
Napita tu.
Ni Heri mimi niliye honest na hisia zangu kuliko wanaoendekeza unafiki.Kweli wewe Uso was nyoka una visasi utadhani gaidi
Kwani ni nani alikwambia kuwa Ghadafi angetawala milele au wewe hutakufa?Gadafi naye alikuwa na imani kama yako ila siku zake zilipofika aliiacha Libya kwa Walibya. Muda ndiye adui mkubwa wa mwanadamu
Uhuru ameyazoea madaraka hana papara ya kuonyesha kwamba yeye ni Rais!
Kiongoz bora anachukua hatua zilizo bora, Uhuru anajua mambo. Ukiwa Kiongoz mkubwa lazma challenges zkupate na uelewe sio kila raia atakukubali. Namfananisha na LOWASSA. alisemwa vibaya lakin still yet alijua nn maana ya siasa. Sio hii mijitu ukiongea kdogo tu ndani, hata useme ukweli ndani, halafu mnasema tuna Demokrasia. Hamna lolote!!!
Kwani Saudi Arabia na Rwanda wana demokrasia ?Democracy sio one size fits all affair. Kama huamini, peleka upuuzi kama huo Saudi Arabia,tena uwe mwananchi wa kawaida uitukane monarch uone. Au fanya hivyo Rwanda. Uhuru ni Rais wa Kenya na si model kwa nchi zote, hayo ni maamuzi yake. Ukitaka kujua uchungu wa tusi na umuhimu wa heshima na adabu, atukanwe baba yako au Mama aliekuzaa na mtu wa barabarani . Hapo ndipo utakapoelewa uzito wa neno kuvunjiwa heshima.
Gwantanamo ipo karibu Changieni tu mautumbo.Yani zimebakia 99.999% watoto wa mzee Mangushi kuwadaba.Halafu IP address zinapitiwa moja baada ya nyingine haaaa haaa.