Mfano wako sioooo kabisa,ni chama tawala kuunga mkono upinzani sasa hapo Lissu anaingiaje mkuu???itakapofika 2025 Samia amuunge mkono Lissu.Siasa siyo uadui.
Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Samia ndiyo amuunge mkono Lissu, don't twist it.Siasa siyo uadui.
Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Nyie wazilankende mwenzenu ameondoka ameacha mifumo yote ya nchi kaiharibu.Ni Kupungukiwa Akili KukubwA Sana Ndugu Zangu
By Mzilankende Mnyango
Exactly,[emoji106]Kumbuka Kenyata ni Rais anamuunga mkono mpinzani ili achukue nchi amkabidhi kiti. Sasa mtoa mada rekebisha kichwa chako
Hata akili huna, kwanini usiseme Samia amwunge mkono Lissu?Siasa siyo uadui.
Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Badala yake Lisu ndio atakaa pembeniMama amuunge mkono Lissu akae pembeni kwanza nadhani hakuwahi kuwa na ndoto za kuwa rais ni umemuangukia tu ampishe Lissu 2025.
CCM ni chama tawala usiwe mbwiga!Hata akili huna, kwanini usiseme Samia amwunge mkono Lissu?
Mfano wako wa Uhuru kumuunga mkono Raila ni chama dola kuunga mkono upinzaniCCM ni chama tawala usiwe mbwiga!
Kumbe una kicxhaa of some sort! I expect sense from your writings! Unamuunga mkono human rights crusher? Anafunga watu kisa madaraka? Umelogwa na Mgaya naona.Siasa siyo uadui.
Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Jubilee siyo chama dola ni chama tawala.Mfano wako wa Uhuru kumuunga mkono Raila ni chama dola kuunga mkono upinzani
Nadhani in this context,. Samia ndio atangaze kumuunga mkono Tundu lisu.Siasa siyo uadui.
Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!
Nipo.Karibu ndugu , habari ya kupotea
Kwanini Samia asitangaze kumuunga mkono Lissu. Coz Kenyatta yuko madarakanana muunga mkono ambaye hajawahi kuwa rais?.Siasa siyo uadui.
Tundu Lissu wa Chadema atangaze kumuunga mkono mgombea urais wa CCM mama yetu Samia mnamo 2025 nasi tutamfikiria 2030.
Siasa siyo uadui bwashee
Siasa ni mipango.
Maendeleo hayana vyama!