MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Mtampamba sana Kenyata kwa kila sifa, ukweli ni kwamba wafanyakazi wakigoma ni kuongea nao na kusikiliza shida zao na sio kupeleka jeshi na kingine kulikua na ulazima wavae nguo za Jeshi?Arafu kumbe huko Kenya mnakosifia kila siku kumbe watu hawapewi mishahara?Ingekua bongo si mngeponda sanaKatumia KDF kufanya kazi Professional na sio kupiga watu na kubangua Koroshow
See the difference
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.