Uhuru Kenyatta elected 4th Kenyan President.

Uhuru Kenyatta elected 4th Kenyan President.

Wakenya bwana, hivi mlijisahau kwamba soon hawa jamaa watakuwa inmates? Tusubiri tuone watakavyotawala remotely wakiwa jela
 
We met with Egyptian Ambassador to Kenya, Kadri Abdel Mottaleb who delivered a congratulatory message from President Mohamed Morsi.


885377_598904643471426_303022556_o.jpg
 
Deputy President-elect William Samoei Ruto and I would like to thank India President Shri Pranab Mukherje for his congratulatory message delivered by the India High Commissioner to Kenya, Sibabrata Tripathi.

885129_598171986878025_105870058_o.jpg
 
Ethiopian Ambassador Shemsudin Ahmed Roble delivered a congratulatory message from Prime Minister Hailemariam Desalegn when he paid Deputy President-elect William Ruto and I a visit today


883946_598168900211667_1680949013_o.jpg
 
Together with Deputy President-elect William Ruto, we met with the Chinese ambassador to Kenya, Liu Guangyuan who delivered the congratulatory message from Chinese President Xi Jinping.

885712_598144900214067_906481228_o.jpg
 
::
USA bado? Au kama kawaida ya Marekani usipofuata Matakwa yao basi we Rais dikteta.
=
 
Ha ha ha ha ha ha ha,hawa ndo viongozi wa dini say jiji lA Nairobi tu? Sasa hapa nd'o wanazidi kujichoresha zaidi jinsi wanavyolazimisha kujitengenezea kukubalika.
 
Ha ha ha ha ha ha ha,hawa ndo viongozi wa dini say jiji lA Nairobi tu? Sasa hapa nd'o wanazidi kujichoresha zaidi jinsi wanavyolazimisha kujitengenezea kukubalika.


Kura laki 8 zaidi ya Odinga unasema kulazimisha, kweli kuna magonjwa aya aina nyingi hapa duniani.
 
Hakika naona wameamua kutafutwa kuungwa mkono na viongozi wa dini, ni jambo jema katika kuwaunganisha wakenya wa dini na tabaka zote pia.
 
Wakenya bwana, hivi mlijisahau kwamba soon hawa jamaa watakuwa inmates? Tusubiri tuone watakavyotawala remotely wakiwa jela
Kwa namna mambo yanavyoendelea sidhani ili la hawa jamaa kuwa 'inmates' kama litamaterialize,kwasababu,kwanza kuna pesa ndefu sana inatembezwa kwa key figures kibao pesa ndefu sana,na wakikosea mwendo wanaokwenda nao utasikia kashfa,huko mbele lobbyist washawekwa sawa watu washapewa chao tayari wapo kwenye corridor za kimataifa kusawazisha mambo kwa wakubwa,kesi itamalizwa in the fashion of muthaura,ya muthaura ilikuwa dibaji tu.Na hata siku hizi mbili kulikuwa na ushindani mkali sana kati serikali inayoondoka na majaji wa mahakama ya supreme court hapo source yangu haikuingia ndani sana.Lakini yote katika yote ni kwamba kumbe Urais kenya ni zaidi ya siasa,ni biashara na mambo mengine yanayofanana na hayo.
Mambo mengine si sahihi sana kuweka hapa kwa wakati huu kwa sababu yamekaa vibaya isije kuwa taabu bure.
Source:One senior offecer of the outgoing govt.si zaidi ya hapo.
 
Hivi Kibaki anatokea pande zipi za Kenya? ni karibia na lake victoria?

maana naona kuna kaka yake ambaye ni waziri hapa kwetu.

Wazee wa adobe can you pls put these twins together for me??


Kwi kwi kwi ni Pacha wake yule...
Ila huyu wa Ziwa Victoria akimbilia porini mapema.
 

I have always loved President Zuma's good command of his native traditional kinsmen's dancing style.

His harmonious flow with home-made beats as heaps loosely keep gyrating to the rhythm every other click of a sound from an array of Zulu musical instruments is often just beyond words.

In fact, if I were to be present at this very venue, it would have been so much unpreventable for me to shout at him the wors of ' Mr President, would you please go for your traditional costumes' so as help complete my day's happiness.

Naam, Zuma's unashamed bear-chest dance with a thin linen bottom wear won't just stop the old from envying their energetic youthful age for once.

Pamoja na yote, hata rais wangu naye hakuachwa mbali sana hapa; tatizo tu ni kwamba hakukumbuka kutawanya miguu yake sawa na Mwalimu wake Mzee Zuma alivyofanya hapo pichani.


I have always loved seeing the man on the stage; I just love it!!
 
Acha waselebuke. Baada ya kazi kubwa kufanyika kinachofuatia ni kuburudika na kusebuka.
 
Back
Top Bottom